Ushauri: Nursery nzuri kwa DSM

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wadau habari,samahanini kwa wale ndugu zangu wenye uzoefu na shule za watoto wadogo (nursery) umri kati ya miaka 4 - 6 naomba mnisaidie kutambua shule nzuri hasa katika maeneo ya Tabata ikiwezekana hata Bunju pia,

Kama nitafanikiwa kujua na nursery schools zitoazo huduma ya boarding kwa maeneo hayo nitashukuru sana!asanteni.
 
Back
Top Bottom