Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Tuna shida ya hiyo dawa, na wewe una shida na pesa yetu. Toa mchanganuo hapa hapa kwa uwazi. Sio mtu anapiga simu mnaanza kupatana bei badili ya kuzama kwenye point.

Toa mchanganuo wa bei. Pombe kiasi kadhaa.. sigara shs kadhaa lasivyo utakuwa wizi au utapeli.
 
Hiyo effect ya disulfiram waweza ipata pia ukinywa pombe na dawa ya metronidazole (metrogly, flagly). Japo effect yake huweza kuua kwa madhara yake ndio maana haishauriwi kunywa pombe na dawa hii. Ila ukinywa bahat mbaya sidhan kama utakunywa tena pombe, ukinywa utaikumbuka ile vurugu basi utaacha.
 
Katika vitu sitaki kujaribu basi ni dawa za kuacha monde maana sina sababu za kuacha kabisaaa.
 
Tuna shida ya hiyo dawa, na wewe una shida na pesa yetu. Toa mchanganuo hapa hapa kwa uwazi. Sio mtu anapiga simu mnaanza kupatana bei badili ya kuzama kwenye point.

Toa mchanganuo wa bei. Pombe kiasi kadhaa.. sigara shs kadhaa lasivyo utakuwa wizi au utapeli.
Pombe 50000
Sigara 50000
Madawa 50000
Bangi 50000 na kama ni
Vyote unajumlisha pesa
 
Jamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
so ni dozi ya dakika kumi? uko wapi ?
haina madhara? funguka
katika mambo yanayonikwaza ni bia zinanipotezea hela lakini siziachi
 
Nina hamu uoneshe ni jinsi gani na kila dawa ina viambata gani ambavyo vitaenda kumfanya mtu aache uraibu wa kitu husika.
Mfano nini kitaenda kuvunja arosto kwa mvuta sigara, bangi na mnywa pombe.
 
Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Umenena vema,,,vyote ni rahis sana kuacha ikiwa tu utaamua,njia pekee ya kufanya au kutofanya chochote ni kuamua peke yako. Kua sitak tens na kuanzia Leo naacha na uamue kwel kwel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom