Ushauri: Njia za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe na ulevi uliopitiliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Njia za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe na ulevi uliopitiliza

Discussion in 'JF Doctor' started by Makanyagio, Jan 20, 2010.

 1. M

  Makanyagio Senior Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF,

  Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.

  Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.

  Baadhi ya majibu kutoka kwa wadau

  ===============




   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mwambie aokoke atapona kabisa yani shuhuda zipo nyingi.
   
 3. Jerome

  Jerome Senior Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa yake siku atakapokunywa akaangusha gari watu wakavunja duka ataacha siku hiyohiyo kuna mifano mingi tu ya aina hiyo hakuna dawa zaidi,viginevyo ni maombi tu mpigieni maombi ya nguvu
   
 4. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ajiunge na gym make sure he attends regulary, sio lazima abebe vyuma lakini he needs to feel good inside.
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dawa ni Yesu Kristo.
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nasikia maziwa ya nguruwe yakichanganywa na hiyo pombe halafu akainywa, atatapika sna na ndiyo mwisho wakunywa.

  ....................................
  Amani yetu inatumiwa vibaya
   
 7. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwache aendelee siku atakayokosa hela ya pombe ndipo ataacha
   
 8. O

  Omumura JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ni mkristu mfungie kanisani, kama ni mwislamu mfungie msikitini na kama hayumo katika hizo dini mbili basi mwache alale kwenye kilabu cha pombe akizinduka amay be ataacha!
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mnyweshe bavaria, akizoea ataichukia harufu ya pombe. Wanahubiriwa sana kilabuni na kina Rose Mhando na Bahati Bukuku na kina Mwang'onda - Utanitambuaje......?


  Leka
   
 10. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nasikia ukinywa juisi ya limao asubuhi na jioni inapunguza hamu ya pombe mpaka inaisha kabisa. Imethibitishwa kisayansi.
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mwache apige kilaji - Maendeleo hayaji kwa kutokunywa pombe bali kwa kukosa mipango madhubuti ya maisha yako mwenyewe!
   
 12. M

  Makanyagio Senior Member

  #12
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwanza niwape thanx. Pili tumeshajaribu mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumuombea, kumshauri, kumwekea vikwazo vya kiuchumi, lakini wapi. Ila Hii ya juisi ya limao ndo nimeisikia leo labda tujaribu hiyo, japo ni kazi kweli kweli maana unaweza kumpleka ng'ombe mpaka kisimani mziki ni kuyanywa hayo maji.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kama ww unaona kilevi cha pombe ni kibaya
  basi mwambie atumie Bange!!
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Msiache kumpeleka kwenye maombi.. MUNGU sio kiziwi ipo siku atasikia maombi yenu..Pole sana!
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kwa nn wampeleke? kwani yy mbuzi, si aende mwenyewe!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Another great thinker!
   
 17. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Ni kweli kabisa jamaa ni genius ile kupata hela ya pombe kila siku inahitaji calculator kubwa lazima ziwe zinachemka kichwani wengine hatuyawezi nikikutana na jamaa huyo nampiga Kili moja ya bariiidiiii.
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  dawa yake ni kuwa ''womaniser''
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  That is to say if you are a man you must be either of the two, and you cant be both

  Drink or F*
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Naah!
  ukiwa cha-pombe utaishia kupiga mshindo mmoja na kulala!..utaishia kuzaa watoto wa kike.....!

  wasiokunywa wanasifiwa sana na lediiz
   
Loading...