Ushauri niweke screen protector ya aina gani?

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
891
237
simu yangu pendwa niliiangusha, ikapata crake mwishoni sina mpango wa kubadilisha wala kuiacha. ni Samsung note 8, Kuna scree protector za aina nyingi sasa sijui niweke ya aina gani kusolve ilo tatizo. naomba ushauri
Screenshot_20200210-150624_WhatsApp.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom