Biashara= kitu nachoweza kuja kuuza Tanzania kwa faidaUchukue biashara?
Thanks Soft GNenda Deira Zungukia masokoni mule. Hutakosa cha kuchukua
Panda Metro Train mpaka Baniyas Square station shuka, right opposite utakuta bustani muulize yeyote hapo bustanini yalipo maduka karibu na mabasi ya kwenda SHARJAH. Ni kama Kariakoo flani hv huko utakutana na Wanaija ndo madalali. Kama umefanya shopping kubwa wewe waachie address ulipofikia/hotel watakuletea hapo ulipofikia na ndo utawalipa hela yao.Thanks Soft G
Pamoja sana Bw. au Bi. Ndesi usijifungie sana ndani jioni toka utembee mitaa hiyo ya DEIRA panapendeza sana, wahindi wanakaanga sana humo, hukosi kachori, Chicken Tikka/Masala yaani kama vile upo Bombay!Thanks Soft G, noted
Wale TRA ukijuwa kucheza nao wala hupati tabu.unaweza toa mzigo wa milioni ishirini kwa laki moja tuNdesi vp ulifanikiwa kupata bidhaa za kuja kututaiti bongo. Ila angalia usibebe zigo kuubwa kumbuka kuna TRA pale airport. Wana njaa ajabu.
Nenda Deira Zungukia masokoni mule. Hutakosa cha kuchukua
Cheap city in Dubai, but wanauza vitu bei nzuri ssnaNenda Deira Zungukia masokoni mule. Hutakosa cha kuchukua