Ushauri nitakuwa Dubai kwa siku 5 nichukue biashara gani budget 6000UsD

Thanks Soft G
Panda Metro Train mpaka Baniyas Square station shuka, right opposite utakuta bustani muulize yeyote hapo bustanini yalipo maduka karibu na mabasi ya kwenda SHARJAH. Ni kama Kariakoo flani hv huko utakutana na Wanaija ndo madalali. Kama umefanya shopping kubwa wewe waachie address ulipofikia/hotel watakuletea hapo ulipofikia na ndo utawalipa hela yao.
 
Mkuu kama upo serious, nikuagize bidhaa kidogo hapo dubai nakupa na contact person. Nitakuongezea na hela ya usumbufu (faida kidogo). Nimeku-PM mkuu.
 
Kama huna cha kuchangia si ukae kimya?
Mtu anaweza enda dubai kwa safari ya kikazi ama la so anaona kurudi mikono mitupu ni hasara....watanzania sijui tutaelimika lini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom