Unahitaji chenye local Chanel au unapenda michezo kama mpira tamthilia? Tujuze tukushauri vzrwakuu nataka kununua king'amuzi ila sijafam, kwa sasa ni king'amuzi gani mnaweza kunishauri ninunue kwa kuangalia ubora wa huduma na garama pia?!
Hivi kwa ving'amuzi vyenye local kipi ni best yaani ubora wa picha sauti na mfumo wa radio hebu nisaidie broStartimes au azam
Hivi kwa ving'amuzi vyenye local kipi ni best yaani ubora wa picha sauti na mfumo wa radio hebu nisaidie bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Ting,continental na digitek havina?King'amuzi chenye local channel ni startimes pekee
Hivyo sijajuaTing,continental na digitek havina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki king'amuzi kipya au vile vya zamani? Mbona wanasema ziko tano je tsh ngapi?Hivyo sijajua
Srartimes iko fresh mkuu free local channel 10
CLOUDS
ITV
EATV
TV E
TV 1
SAFARI TV (hii ni ya utalii na wanyama wa ndani Tanzania) inamilikiwa nazani tanapa
UPENDO TV (hii ni ya gospel mpya)
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
Kufurushi kikiisha we unapeta tuu alafu ipo clear balaa
Wewe unatumia antenna?Hivyo sijajua
Srartimes iko fresh mkuu free local channel 10
CLOUDS
ITV
EATV
TV E
TV 1
SAFARI TV (hii ni ya utalii na wanyama wa ndani Tanzania) inamilikiwa nazani tanapa
UPENDO TV (hii ni ya gospel mpya)
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
Kufurushi kikiisha we unapeta tuu alafu ipo clear balaa
Wewe unatumia antenna?
Wewe unatumia antenna?
Nadhani bro sijawahi sikia kua eti Chanel ziwe free kumi?Wewe unatumia antenna?
Wewe unatumia antenna?
FTA Tanzania ni tano tu, na ukitumia dish la startimes hata hizo tano utazisikia radion unaweza bahatisha mbili au mojaNadhani bro sijawahi sikia kua eti Chanel ziwe free kumi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ting au continental bora kipi sasa?FTA Tanzania ni tano tu, na ukitumia dish la startimes hata hizo tano utazisikia radion unaweza bahatisha mbili au moja