ushauri: ninunue king'amuzi kipi?!

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
wakuu nataka kununua king'amuzi ila sijafam, kwa sasa ni king'amuzi gani mnaweza kunishauri ninunue kwa kuangalia ubora wa huduma na garama pia?!
 
Hivyo sijajua
Srartimes iko fresh mkuu free local channel 10
CLOUDS
ITV
EATV
TV E
TV 1
SAFARI TV (hii ni ya utalii na wanyama wa ndani Tanzania) inamilikiwa nazani tanapa
UPENDO TV (hii ni ya gospel mpya)
TBC
STAR TV
CHANNEL 10

Kufurushi kikiisha we unapeta tuu alafu ipo clear balaa
Hiki king'amuzi kipya au vile vya zamani? Mbona wanasema ziko tano je tsh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo sijajua
Srartimes iko fresh mkuu free local channel 10
CLOUDS
ITV
EATV
TV E
TV 1
SAFARI TV (hii ni ya utalii na wanyama wa ndani Tanzania) inamilikiwa nazani tanapa
UPENDO TV (hii ni ya gospel mpya)
TBC
STAR TV
CHANNEL 10
Kufurushi kikiisha we unapeta tuu alafu ipo clear balaa
Wewe unatumia antenna?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom