Ushauri: Ninaanza Siasa rasmi, nijiunge chama gani? CCM au CHADEMA?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Washika dau katika Jukwaa hili,

Baada ya kukaa nje ya ushabiki wa vyama kwa muda mrefu, sasa nimeamua niwe mwanachama wa chama cha siasa. Katika hili nieona si vibaya kuwashirikisha wadau wanaojua ni chama kipi cha siasa nchini kinafaa zaidi kujiunga nacho.

Naombeni ushauri wenu. Maoni ya wengi ndiyo ntayazingatia zaidi kwani naamini chama cha wengi ndio bora zaidi ila sijajua ni kipi mpaka ntakapochuja maoni yenu.

Naomba ushirikiano.
 
uchaguliwe chama umekuwa nani wewe? Nenda MMU ukaombe kuchaguliwa mke kwanza.
 
Kama mpaka sasa hujui sera za vyama na ubora wake ni bora ubaki hivyo hivyo maana utakuwa mzigo katika chama chochote utakachoenda. Jifunze kwanza siasa zinaendaje kabla ya kukurupuka.
 
Yaani wewe kweli hamnazo hivi kweli unafanya analysis kwa kuangalia wingi wa watu? Nadhani usijiunge na chama chochote kwa kuwa bado haupo tayari na hujui factor yoyote ya kukuvutia zaidi ya kuangalia wingi wa watu.
 
Washika dau katika Jukwaa hili. Baada ya kukaa nje ya ushabiki wa vyama kwa muda mrefu, sasa nimeamua niwe mwanachama wa chama cha siasa. Katika hili nieona si vibaya kuwashirikisha wadau wanaojua ni chama kipi cha siasa nchini kinafaa zaidi kujiunga nacho. Naombeni ushauri wenu. Maoni ya wengi ndiyo ntayazingatia zaidi kwani naamini chama cha wengi ndio bora zaidi ila sijajua ni kipi mpaka ntakapochuja maoni yenu. Naomba ushirikiano.

Tumia akili ya mbayumbayu ufikie maamuzi ya busara;-
1. Chadema kimejikita kanda ya kaskazini
2. UDP kinamizizi Bariadi.
3. TLP kipo Vunjo
4. CUF wanajimwaga kwa raha zao Pemba
5. CCM kimeenea bara na visiwani
 
:israel: Kwenye red-Kwani wee umekuwa Bendera fuata upepo
 
Tumia akili ya mbayumbayu ufikie maamuzi ya busara;-
1. Chadema kimejikita kanda ya kaskazini
2. UDP kinamizizi Bariadi.
3. TLP kipo Vunjo
4. CUF wanajimwaga kwa raha zao Pemba
5. CCM kimeenea bara na visiwani

Acha bangi,
Kanda ya ziwa iko Moshi au Arusha?
 
Yaani wewe kweli hamnazo hivi kweli unafanya analysis kwa kuangalia wingi wa watu? Nadhani usijiunge na chama chochote kwa kuwa bado haupo tayari na hujui factor yoyote ya kukuvutia zaidi ya kuangalia wingi wa watu.

Kuna jamaa mmoja wa ajabu sana, wakati wowote ukimwambia jamba! Anajamba. Yaani akijikamua kidogo tu, anajamba. Ndio wewe sasa, kwa kujamba pumba haujambo.
 
Jiunge na CHAWAPUTA (chama cha wapiga pun.... "/...to Tanzania )
 
Acha bangi,
Kanda ya ziwa iko Moshi au Arusha?

Samahani, nilisahau, hatahivyo jana ofisi ya wilaya ya Sengerema imefungwa, Dr.Slaa inatakiwa akachukue mihuri na bendera, poleni kwa kuanza mwaka vibaya AMEN!
 
Kama wewe ni mla rushwa na fisadi, ama kama unataka ufisadi, CCM ni mahali pako, lakini kama unataka ukombozi wa pili wa Taifa letu ingia CDM. NI chama kikuu cha upinzani, kimeenea nchi nzima mpaka Pemba, kinakubalika na wananchi wote, pita kila mahali mpaka vijijini hutakosa kuona bendera za CDM zikipepea, Viongozi wake ni makini na hawakurupuki. Ndiyo chama ambacho waziri mkuu amekiri kuwa kinawanyima usingizi. Unataka nini zaidi?
 
Back
Top Bottom