Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Washika dau katika Jukwaa hili,
Baada ya kukaa nje ya ushabiki wa vyama kwa muda mrefu, sasa nimeamua niwe mwanachama wa chama cha siasa. Katika hili nieona si vibaya kuwashirikisha wadau wanaojua ni chama kipi cha siasa nchini kinafaa zaidi kujiunga nacho.
Naombeni ushauri wenu. Maoni ya wengi ndiyo ntayazingatia zaidi kwani naamini chama cha wengi ndio bora zaidi ila sijajua ni kipi mpaka ntakapochuja maoni yenu.
Naomba ushirikiano.