Ushauri: Ninaanza Siasa rasmi, nijiunge chama gani? CCM au CHADEMA?

Jiunge na chama cha Lowasa! maana ndiye anaekuweka mjini, na ningeomba kukutahadharisha kwamba hapa JF usidhani ni facebook unapoweza kuongea uharo na wapuuzi wenzako, nitaweka post zako zote za kumpamba Lowasa mpaka utashangaa usidhani hapa kitu ukipost leo ndio kimepita, tupo wataalam wa kutunza data.Ole wako dogo hizi njaa na bia za kununuliwa zitawafanya hata mtolewe posa na wanaume wenzenu. am just warning u!
 
jiunge na mtikila ukomae kwanza kisi-hasa,januari mwakani njoo tena na swali lako tukupé mwongozo
 
Jiunge na chama cha Lowasa! maana ndiye anaekuweka mjini, na ningeomba kukutahadharisha kwamba hapa JF usidhani ni facebook unapoweza kuongea uharo na wapuuzi wenzako, nitaweka post zako zote za kumpamba Lowasa mpaka utashangaa usidhani hapa kitu ukipost leo ndio kimepita, tupo wataalam wa kutunza data.Ole wako dogo hizi njaa na bia za kununuliwa zitawafanya hata mtolewe posa na wanaume wenzenu. am just warning u!

Uko sahihi Matola,huyu jamaa mnafiki sana anajifanya ati leo anaomba ushauri ajiunge chama kipi wakati cku zote amekua mtetezi wa Lowassa sasa kwenye mwenye akili kuna haja ya kuuliza yupo chama gani? pambafu zake huyu,hebu ziunganishe comment zake hapa watu waprove unafiki wake huyu mtu
 
C C M ndio chama bora kabisa kuliko vyote !, najua mtasema sana , siwapendi baadhi ya watu walio na madaraka mle lakini sio siri nakipenda hiki chama !
 
Jiunge na chama cha Lowasa! maana ndiye anaekuweka mjini, na ningeomba kukutahadharisha kwamba hapa JF usidhani ni facebook unapoweza kuongea uharo na wapuuzi wenzako, nitaweka post zako zote za kumpamba Lowasa mpaka utashangaa usidhani hapa kitu ukipost leo ndio kimepita, tupo wataalam wa kutunza data.Ole wako dogo hizi njaa na bia za kununuliwa zitawafanya hata mtolewe posa na wanaume wenzenu. am just warning u!

Yaani we ndiyo bogasi kweli kweli. Bichwa lako halina kumbukumbu. Nimemtetea sana Lowasa kama Lowasa huku wakati wote nikisisitiza kuwa mimi si shabiki wa chama chochote. Wewe kwa akili yako ndogo kama mchanga unajua mtu akimtetea mtu wa chama fulani basi naye niwachama hichohicho? Lowasa ni CCM, Sasa hebu weka hizo post zangu zote tangu 2009 watu waone. Kukiwa kuna hata moja ninayosema mimi ni chama kimoja na Lowasa yaani CCM. Ukiipata post ninayosema mimi ni CCM, natangaza siku ya kujinyea hadharani pale uwanja wa Taifa watu washuhudie tena bure. Fikiria kwanza sio unajambajamba hovyo hapa.
 
Uko sahihi Matola,huyu jamaa mnafiki sana anajifanya ati leo anaomba ushauri ajiunge chama kipi wakati cku zote amekua mtetezi wa Lowassa sasa kwenye mwenye akili kuna haja ya kuuliza yupo chama gani? pambafu zake huyu,hebu ziunganishe comment zake hapa watu waprove unafiki wake huyu mtu

Nadhani akili zako huwa zinakwenda kuchunga kwa muda. Wewe na mwenzako ndio kumbukumbu zenu zimekaa upande. Siku zote huwa nasema pamoja na kumtetea Lowasa, mi si mwanachama wa chama chochote. Sasa aweke hizo post kengemaji we.
 
Yaani we ndiyo bogasi kweli kweli. Bichwa lako halina kumbukumbu. Nimemtetea sana Lowasa kama Lowasa huku wakati wote nikisisitiza kuwa mimi si shabiki wa chama chochote. Wewe kwa akili yako ndogo kama mchanga unajua mtu akimtetea mtu wa chama fulani basi naye niwachama hichohicho? Lowasa ni CCM, Sasa hebu weka hizo post zangu zote tangu 2009 watu waone. Kukiwa kuna hata moja ninayosema mimi ni chama kimoja na Lowasa yaani CCM. Ukiipata post ninayosema mimi ni CCM, natangaza siku ya kujinyea hadharani pale uwanja wa Taifa watu washuhudie tena bure. Fikiria kwanza sio unajambajamba hovyo hapa.

Tapita kuna mtu nilikuwa namtafuta nimemkosa!
 
Washika dau katika Jukwaa hili. Baada ya kukaa nje ya ushabiki wa vyama kwa muda mrefu, sasa nimeamua niwe mwanachama wa chama cha siasa. Katika hili nieona si vibaya kuwashirikisha wadau wanaojua ni chama kipi cha siasa nchini kinafaa zaidi kujiunga nacho. Naombeni ushauri wenu. Maoni ya wengi ndiyo ntayazingatia zaidi kwani naamini chama cha wengi ndio bora zaidi ila sijajua ni kipi mpaka ntakapochuja maoni yenu. Naomba ushirikiano.
Ni bora ukatoa sifa zako kwanza ndipo tukueleze chama kinacho fanana na sifa zako
 
Kama wewe ni mla rushwa na fisadi, ama kama unataka ufisadi, CCM ni mahali pako, lakini kama unataka ukombozi wa pili wa Taifa letu ingia CDM. NI chama kikuu cha upinzani, kimeenea nchi nzima mpaka Pemba, kinakubalika na wananchi wote, pita kila mahali mpaka vijijini hutakosa kuona bendera za CDM zikipepea, Viongozi wake ni makini na hawakurupuki. Ndiyo chama ambacho waziri mkuu amekiri kuwa kinawanyima usingizi. Unataka nini zaidi?
You sure? Mbona nasikia ni chama cha waimba kwaya za kanisa tuu?
 
Nadhani akili zako huwa zinakwenda kuchunga kwa muda. Wewe na mwenzako ndio kumbukumbu zenu zimekaa upande. Siku zote huwa nasema pamoja na kumtetea Lowasa, mi si mwanachama wa chama chochote. Sasa aweke hizo post kengemaji we.

Unafiki unakusumbua huna lolote wewe,au umeishia chekechea? Bata wewe
 
Vuta subira kidogo, vyote vilivyopo vinawenyewe na ukitia maguu uwe na adabu pamoja na kudumisha fikra za viongozi utakao wakuta.
 
Unafiki unakusumbua huna lolote wewe,au umeishia chekechea? Bata wewe

Kwa sababu wewe umezaliwa mnafiki unadhani watu wote wanafiki kama wewe? Kama huna la maama la kuongea kama mtu mwenye akili timamu bora ukae kimya. Waropokaji kama wewe wanapitikana huko mirembe, kwa kuwa wewe adabu yako ulifunziwa kwenye mabua unadhani watu wote watakuwa na akili zako kama za mbuzi. Wewe ni kiongozi wa mataahira tena kubishana na wewe ni sawa na kujibebesha gunia la miba. Fyatua akili zako kutoka katika bomba lako hilo la maji taka zirejeshe kichwani. Bangi za kuanzia uzeeni hazifai, mtu akiuliza kitu jibu, kama huna cha kusema mkeo anakusubiri huko. Eboo!
 
jiunge kuna vyama vingi,chama kula kuku(chakuku) chama cha mbele na yaliyojili(chambeya).chama cha masharo haro namabarobaro
 
OK sifa ya kwanza kafauru anajihusisha na kilimo gani ??
  • jembe la mkono au power tiller
  • mazao ya chakula, biashara au yote
  • isije ikawa bangi

Jembe la mkono. Lakini kipato kidogo sana, huenda nikaanza kulima hilo zao la mwisho hapo. Nasikia linalipa sana.
 
Back
Top Bottom