Ushauri: Ninaanza Siasa rasmi, nijiunge chama gani? CCM au CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Ninaanza Siasa rasmi, nijiunge chama gani? CCM au CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Jan 5, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Washika dau katika Jukwaa hili,

  Baada ya kukaa nje ya ushabiki wa vyama kwa muda mrefu, sasa nimeamua niwe mwanachama wa chama cha siasa. Katika hili nieona si vibaya kuwashirikisha wadau wanaojua ni chama kipi cha siasa nchini kinafaa zaidi kujiunga nacho.

  Naombeni ushauri wenu. Maoni ya wengi ndiyo ntayazingatia zaidi kwani naamini chama cha wengi ndio bora zaidi ila sijajua ni kipi mpaka ntakapochuja maoni yenu.

  Naomba ushirikiano.
   
 2. M

  MGOME Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  CCM! kama wewe ni mchumia tumbo!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  uchaguliwe chama umekuwa nani wewe? Nenda MMU ukaombe kuchaguliwa mke kwanza.
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama unataka chama cha wengi, jiunge CCM. Ukitaka chama bora niulize mimi.
   
 5. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Chama cha Hamad Rashid na Kafulila
   
 6. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Achana na Siasa kajiunge na Chama cha Walemavu wa mawazo Tanzania.....
   
 7. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama mpaka sasa hujui sera za vyama na ubora wake ni bora ubaki hivyo hivyo maana utakuwa mzigo katika chama chochote utakachoenda. Jifunze kwanza siasa zinaendaje kabla ya kukurupuka.
   
 8. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe kweli hamnazo hivi kweli unafanya analysis kwa kuangalia wingi wa watu? Nadhani usijiunge na chama chochote kwa kuwa bado haupo tayari na hujui factor yoyote ya kukuvutia zaidi ya kuangalia wingi wa watu.
   
 9. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tumia akili ya mbayumbayu ufikie maamuzi ya busara;-
  1. Chadema kimejikita kanda ya kaskazini
  2. UDP kinamizizi Bariadi.
  3. TLP kipo Vunjo
  4. CUF wanajimwaga kwa raha zao Pemba
  5. CCM kimeenea bara na visiwani
   
 10. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unataka kujiunga na chama cha siasa ukiwa na lengo(ma) gani?
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni Meku ni vizuri ujikite Chadema...
   
 12. M

  Malova JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  anzisha chako
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  :israel: Kwenye red-Kwani wee umekuwa Bendera fuata upepo
   
 14. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Acha bangi,
  Kanda ya ziwa iko Moshi au Arusha?
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa mmoja wa ajabu sana, wakati wowote ukimwambia jamba! Anajamba. Yaani akijikamua kidogo tu, anajamba. Ndio wewe sasa, kwa kujamba pumba haujambo.
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Jiunge na CHAWAPUTA (chama cha wapiga pun.... "/...to Tanzania )
   
 17. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Samahani, nilisahau, hatahivyo jana ofisi ya wilaya ya Sengerema imefungwa, Dr.Slaa inatakiwa akachukue mihuri na bendera, poleni kwa kuanza mwaka vibaya AMEN!
   
 18. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  We ndo mwenyekiti?
   
 19. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ndo manake . Ukimwi hatupati ng'o labda tuupate kwenye glasi ya bia.
   
 20. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kama wewe ni mla rushwa na fisadi, ama kama unataka ufisadi, CCM ni mahali pako, lakini kama unataka ukombozi wa pili wa Taifa letu ingia CDM. NI chama kikuu cha upinzani, kimeenea nchi nzima mpaka Pemba, kinakubalika na wananchi wote, pita kila mahali mpaka vijijini hutakosa kuona bendera za CDM zikipepea, Viongozi wake ni makini na hawakurupuki. Ndiyo chama ambacho waziri mkuu amekiri kuwa kinawanyima usingizi. Unataka nini zaidi?
   
Loading...