Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.
Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.
Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.
Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.
Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.
Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.
But I don’t know what I can do again.
Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?
Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.
Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?