sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 82
Kaka nimeipenda hii ya fixed account ivi utaratibu unakaaje?Fungua fixed account upate 13% kwa kila mwezi pale TPB.
Kaka nimeipenda hii ya fixed account ivi utaratibu unakaaje?Fungua fixed account upate 13% kwa kila mwezi pale TPB.
Tuambie Bei kwa dozenFanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176View attachment 1736445
Wewe mtu wa2 unasema hv una idea na hii busn? Malipo yakoje n
Unaweza kuingia humo, mimi nimo humo kwa kama wiki tatu sasa. Ila nikupe angalizo kidogo. Ni kuwa utahitaji uwe na kama 8 milioni ili uiweke Bajaj yako barabarani yaani bei ya kununulia zina range kutoka 7,350,000/= hadi 7,500,000/=. Mimi niliipata kwa 7,400,000/=. Ongeza hapo Bima Kubwa (Sh.576,000/=), ongeza LATRA (22,000/=), ongeza TRA MAPATO (Sh.100,000/=) kwa mwaka wa fedha na gharama nyinine kama kujengea turubai, ngao n.k. 8mi/= na zaidi kidogo.Wewe mtu wa2 unasema hv una idea na hii busn? Malipo yakoje nk
Bei Zinatofautiana kuanzia sh. 3000/=za watoto kwa Dozen hadi elfu 30,000/= kwa Dozen za mabonge.Tuambie Bei kwa dozen
Hakuna faida mkuu kama kwa siku bajaj 10-12k bora nibet tu.Unaweza kuingia humo, mimi nimo humo kwa kama wiki tatu sasa. Ila nikupe angalizo kidogo. Ni kuwa utahitaji uwe na kama 8 milioni ili uiweke Bajaj yako barabarani yaani bei ya kununulia zina range kutoka 7,350,000/= hadi 7,500,000/=. Mimi niliipata kwa 7,400,000/=. Ongeza hapo Bima Kubwa (Sh.576,000/=), ongeza LATRA (22,000/=), ongeza TRA MAPATO (Sh.100,000/=) kwa mwaka wa fedha na gharama nyinine kama kujengea turubai, ngao n.k. 8mi/= na zaidi kidogo.
Baada ya hapo sasa una njia mbili za kuiendesha hiyo Bajaj yako kibiashara. Aidha umpe dereva KWA MKATABA, huyu akuletee Sh.20,000/=kwa wiki kwa miezi 24 au 26, kadri mtakavyokubaliana. Baada ya huo muda, Bajaj inakuwa ya dereva. AU umpe dereva bila mkataba kama huo hapo juu, yeye akuletee kila siku kati ya Sh.10,000/= na Sh.12,000/= kwa muda wote wa uhai wa Bajaj yako. Kuna some details nimeziacha kwa sababu ya muda kama vile kuhusu matengenezo na bima baada ya mwaka wa kwanza n.k. Twende sasa kwenye maswali ukizingatia uzoefu wangu wa wiki kama mbili hivi za barabarani.
Biashara nyingine ni biashara kichaa yaani unaweka Mil 8 alafu upate elfu 12 kwa siku?Unaweza kuingia humo, mimi nimo humo kwa kama wiki tatu sasa. Ila nikupe angalizo kidogo. Ni kuwa utahitaji uwe na kama 8 milioni ili uiweke Bajaj yako barabarani yaani bei ya kununulia zina range kutoka 7,350,000/= hadi 7,500,000/=. Mimi niliipata kwa 7,400,000/=. Ongeza hapo Bima Kubwa (Sh.576,000/=), ongeza LATRA (22,000/=), ongeza TRA MAPATO (Sh.100,000/=) kwa mwaka wa fedha na gharama nyinine kama kujengea turubai, ngao n.k. 8mi/= na zaidi kidogo.
Baada ya hapo sasa una njia mbili za kuiendesha hiyo Bajaj yako kibiashara. Aidha umpe dereva KWA MKATABA, huyu akuletee Sh.20,000/=kwa wiki kwa miezi 24 au 26, kadri mtakavyokubaliana. Baada ya huo muda, Bajaj inakuwa ya dereva. AU umpe dereva bila mkataba kama huo hapo juu, yeye akuletee kila siku kati ya Sh.10,000/= na Sh.12,000/= kwa muda wote wa uhai wa Bajaj yako. Kuna some details nimeziacha kwa sababu ya muda kama vile kuhusu matengenezo na bima baada ya mwaka wa kwanza n.k. Twende sasa kwenye maswali ukizingatia uzoefu wangu wa wiki kama mbili hivi za barabarani.
Hii itakua kwa mwakaAsilimia 13 kila mwezi????!!!
Au unamaanisha kwa mwaka?
Sijawahi kuona benki inatoa ivo.
Fungua fixed account upate 13% kwa kila mwezi pale TPB.
Niliwahi sema..unanunua bajaj kipande kwa siku 15 _20 ..sijui ni akili ya wapi hii!Biashara ya Mchele na tikiti zitakusumbua kwa sasa.
Bajaj fine dereva uwe mwenyewe bt how comes unaweka 8M thn usubiri 25k per day ni kuzika ela tu itakuchukua miaka 2 na zaidi kuirudsha 8M.
Weka ela kwenye biashara ya kuuza solar vijijini kwa pesa iyo mtaji tosha

ila iyo kusafisha mitaro na kubeba zege co poaWeka hela bank, rudi kitaa jichanganye kwenye kaz ndogo ndogo kama kusafisha mitaro,kubeba zege baada ya mwez utajua biashara nzur sana ya kufanya.
Njia ya pili, kuwa Karbu na watu ambao hawana kitu,hao huwa wana plan nying za biashara.
Inanyoosha akili, inasawazisha mawazo, inazalisha mipango, inakomaza msimamo na inasaidia kuwa na discipline katika matumizi...ila iyo kusafisha mitaro na kubeba zege co poa
Ukfanya hzo kaz lazma utapata wazo zur la biashara ya kufanyaila iyo kusafisha mitaro na kubeba zege co poa
Kamanda bajaji wapi? M8Biashara ya Mchele na tikiti zitakusumbua kwa sasa.
Bajaj fine dereva uwe mwenyewe bt how comes unaweka 8M thn usubiri 25k per day ni kuzika ela tu itakuchukua miaka 2 na zaidi kuirudsha 8M.
Weka ela kwenye biashara ya kuuza solar vijijini kwa pesa iyo mtaji tosha
7.3 weka Mapato,Tarula,Bima,Mtaji wa kuanzia ,Ninamiliki mwaka wa 4 sasa.Kamanda bajaji wapi? M8
Nimetoka juzi tu kuulizia bajaji inaenda 7.5million na Bima mpaka 7.3million unachukua bila Bima