Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,723
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri