Ushauri: Nilibadili kozi chuoni pasipo kumtaarifu mwajiri wangu

System haiko hivyo.
Jaribu kufuatilia.
Huyu mshahara wake ni Tsh530,000 ndio inakatwa hivyo.
Kasema alikua anakatwa elfu 25 na inajukikana kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii huwa inakata 10% ya basic salary sasa piga hesabu hapo kwa maelezo yake hyo elfu 25 ni sawa na mshahara wa shilingi ngapi
 
Back
Top Bottom