Ushauri: Nijifunze lugha ipi?

Nimekaa Mozambique na sasa nipo Brazil ninaendelea kujifunza portuguese si lugha inayoongelewa sana ila ukiijua unaweza pata nafasi ya kujifunza kii spaniola na kifaransa kwa urahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu wapi hiyo Sao au Rio?
 
Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!
Miaka 3 iliyopita nilikutana msichana wa kichina huko kwenye vijiji vyao hajuwi luga yoyote zaidi ya kichina Ila simu ilituunganisha na kulikuwa na baridi Sana ya hatari kwangu Ila alinisaidia sana kuipunguza na kuniandalia supu nzuri ya samak
Uliacha chotara la kichina?
 
Siojaona watu wanazungumzia komputa language.Top ten reachest man on earth wametokana na computer programming language, nimegundu kuna fursa nyingi sana ukijua walau comp lang ukiambatanisha na lugha kubw duniani.Kama wewe sio mtu wa Cs au it jifunze hizo lugha za komputa unaweza kuwa mtu wa tofauti.
 
Uliacha chotara la kichina?
😂😂😂😂😂😂 mkuu acha tu!!
1062535

Eti ka fanana na mama!!!!!!
 
😂😂😂😂😂😂 mkuu acha tu!!
Tutegemee obama wa kichina? Nasikia wachina wanawapenda sana ma black America men sijui kwa sababu ni mahand some au wanawapenfa kwa sababu ya mpunga mrefu kama myweather.Nasikia ukisema wewe ni black Amerika Uta####tom@@@@ba tuchina hata buku.? Kuna mchina alinitega dsm kwenye gari yake mapaja mwaa mzee nikatafakari kwamba ni tamaduni zao au ndio anikuwa ananifunilia nitumbukize kichwa cha Abdala Selemani!, mzee mpaka leo najiuliza?
 
Tutegemee obama wa kichina? Nasikia wachina wanawapenda sana ma black America men sijui kwa sababu ni mahand some au wanawapenfa kwa sababu ya mpunga mrefu kama myweather.Nasikia ukisema wewe ni black Amerika Uta####tom@@@@ba tuchina hata buku.? Kuna mchina alinitega dsm kwenye gari yake mapaja mwaa mzee nikatafakari kwamba ni tamaduni zao au ndio anikuwa ananifunilia nitumbukize kichwa cha Abdala Selemani!, mzee mpaka leo najiuliza?
Mkuu kimoja tu kizuri hakusahau milele alafu! Me watoto wangu wa kiume nita washawishi waowe wa china!!
Wakarimu Sana mkuu ukiandaliwa msosi ata tamani ata kulia adi umalize sio ile kula msosi dakika kumi hapana chakula kina liwa lisaa limoja vyakula kama 10!!
Wanaume wa kichina machine ndogo pia huwa wana sema hazina pressure sana!!!
 
Lugha kuu duniani zinazotumika kwa asilimia 80 ni Kichina yaani (Mandarin), Kiingereza(English) na Espanora(Kihispania).
Afu Tanzania kwetu inaonekana kabisa asilimia kubwa ya wawekezaji ni wachina. Mizigo ya biashara mingi Dar es Salaam inatoka jiji la 广州(Guangzhou).Kwa sababu watu wengi wanaagiza mizigo yao kutoka huku china kwa unafuu wa bei. Ukijua lugha yao unaokoa gharama nyingi ya Madalali wa mzigo. Afu pia ukiongea na wasambazaji hawa wa mizigo pale kariakoo ambao ni wachina kwa kutumia lugha yao pia bei wanakupa nafuu.Kuzingatia mzigo unaonunua dar 30,000 ujue huku ulinunuliwa Tshs. 12,000 ,watu wengi hawalijui hili.

Nipo huku China nje ya nchi kwa sasa lakini mwisho wa mwezi wa saba nitarudi Dar na nna mpango wa kufungua Training Center kufundisha watu Kichina yaani(普通话).Karibu sana mkuu.

Whatsapp yangu ni +8615928077274 kwa maswali au mawasiliano zaidi.au email ni youngmuna338@outlook.com
 
Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.

2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu

3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
ni kweli kichina sio lugha rahisi, mimi nimekaa huku miaka minne 4 ili kukijua hahah. Lakini asikudanganye mtu. Ukifundishwa kwa mpango taratibu.utakishika haraka. inategemea tu na juhudi na utamani wa mwanafunzi kujifunza. nicheki kama utakuwa unataka kujifunza.
 
Back
Top Bottom