Ushauri: Nijifunze lugha ipi?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza

kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
 
Kwa sasa,
Chagua ama ikikupendeza enenda katika mtiririko huu hapa chini.

Hutajutia na utanitafuta siku moja kunishukuru:

Kifaransa,
Kiarabu,
Kichina.

Kwa kuanzia.
 
Jifunze lugha ya roho mtakatifu ili ututonye mipango ya Sir God
Nilitaka nijifunze hii lugha ya kihebrania ila tatizo ni kwamba Kile kihebrania kilichoandikwa kwenye biblia hakipo tena kilishakufa, hiki kihebrania cha sasa ni tofauti na Kile cha zamani Kilichotumika kwenye biblia orijino.
 
Depends with which field you in.... but
1.Mandarin =1.2B speaker.... difficult vows good potential language
2.Spanish 0.437B easy to learn, most spoKen language in usa after English
3. French ...0.27B mid easy to learn , somewhat tough. .... future business language
 
Kwa sasa,
Chagua ama ikikupendeza enenda katika mtiririko huu hapa chini.

Hutajutia na utanitafuta siku moja kunishukuru:

Kifaransa,
Kiarabu,
Kichina.

Kwa kuanzia.
Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.

2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu

3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
 
Nilitaka nijifunze hii lugha ya kihebrania ila tatizo ni kwamba Kile kihebrania kilichoandikwa kwenye biblia hakipo tena kilishakufa, hiki kihebrania cha sasa ni tofauti na Kile cha zamani Kilichotumika kwenye biblia orijino.
Hivi kumbe Kiebrania ndio lugha ya roho mtakatifu
 
Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.

2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu

3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
Canadian French mkuu.
Sema kwa mtazamo hakuna lugha rahisi kujifunza hasa kama haupo ktk jamii inayotumia lugha husika.
 
Nimekaa Mozambique na sasa nipo Brazil ninaendelea kujifunza portuguese si lugha inayoongelewa sana ila ukiijua unaweza pata nafasi ya kujifunza kii spaniola na kifaransa kwa urahisi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna lugha inamwaga pesa. Ukienda China kuna wachina kibao wanaongea kichina na ni masikini wa kutupa. Ukienda uingereza na Marekani kuna watu waliozaliwa humo wanaongea hicho kiingereza lakini masikini. Ukija Bongo kuna waswahili kibao ombaomba mtaani.
Nakushauri jifunze lugha ya wazazi wako, ili ukiwa unaenda vijijini kusalimia usionekane mgeni saaana.
 
Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza

kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
Jifunze kisukuma kipindi hichi ila kijacho jifunze kichagga hususan kimachame.
Utajimatia queen wa kisukuma na hawara wa kimachame
 
Kichina

Jr
Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!
Miaka 3 iliyopita nilikutana msichana wa kichina huko kwenye vijiji vyao hajuwi luga yoyote zaidi ya kichina Ila simu ilituunganisha na kulikuwa na baridi Sana ya hatari kwangu Ila alinisaidia sana kuipunguza na kuniandalia supu nzuri ya samak
 
Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.

2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu

3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
Sasa mkuu umetaka Ushauri Usome Lugha ipi au umehitaji uchambuzi/ufafanuzi wa Ugumu pamoja na faida/hasara zipi unazoweza kupata kwa kujifunza Lugha hizo?

Mantiki ya majibu yako ni tofauti na Somo la msingi la Uzi wako.

Aidha nashawishika kutokuamini kuwa unayo Nia ya dhati ya kujifunza Mswahili wewe.
 
Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!
Miaka 3 iliyopita nilikutana msichana wa kichina huko kwenye vijiji vyao hajuwi luga yoyote zaidi ya kichina Ila simu ilituunganisha na kulikuwa na baridi Sana ya hatari kwangu Ila alinisaidia sana kuipunguza na kuniandalia supu nzuri ya samak
Naona unawaza kinyumenyume.

Tunakoenda lugha zote zitakufa, zitabaki:

- English

- Mandarin

-
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom