Ushauri, nifanye biashara gani?

TonymarshalOG

New Member
Jan 2, 2021
4
0
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki,

Mimi ni kijana mtanzania ambeye ndoto zangu kuu ni kufanya biashara punde nitakapo maliza kusoma (mwakani). Sasa nashindwa kujua nifanye biashara gani ilihali mimi ni mgeni katika biashara.

TAARIFA ZANGU ZA KIFEDHA NA ENEO NI HIZI;
MTAJI: MILLION 6
ENEO NINALO ISHI LINA SIFA HIZI;
-Ni mji unaokuwa kwa kasi sana.
-Idadi yake ya watu ni ya wastani na huongezeka kila siku hasa wageni kutoka nje ya eneo hilo.
-maeneo ya mashamba n mengi zaidi.
-kuna maji ya kutosha.
-mzunguko wa fedha ni wawastani.
-vijana wa eneo hilo hujishuhulisha na bodaboda kwa kiasi kikubwa.
-huduma nyingi zinazopatikana katika miji mikubwa hazipo za kutosha, mfano maduka ya jumla ni machache na bei za nguo zipo juu in general bidhaa za viwandani bei yake iko juu.
- So hizo ndo baadhi ya taarifa za mji nitakao kaa na kuanza biashara. Je nifanye biashara gani?
FB_IMG_1603456982075.jpg
 
Ndoto zako kuu ni kufanya biashara. Ni sawa! Ilaaa

Je, biashara yako ikikua na ukafanikiwa ni kitu gani kingine utafanya for the rest of your life??

Ukipata jibu la hilo swali unaweza kupata idea nzuri ya aina ipi ya biashara uifanye.

Jaribu kutafakari.
 
shukrani
 
Back
Top Bottom