Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,632
- 9,445
- Thread starter
- #41
Wazee hawanipi mshaaraBaki kwenye biashara aisee, serikalini utapiga miayo mpaka ujute wanaoenda serikalini ni vile hawana pakuanzia watoto wa wakulima

Waambiwe wawe wanakupa hyo amount ka ya serikalini ili pia utumie usomi kukuza biashara hyo maana hyo biashara inalipa for future use. Watu hukimbilia serikalini vile wazazi wao hawakuachia kitu.Wazee hawanipi mshaara
Biashara ni ya wazazi sio ya ukoo ,halafu kingine hawanipi mshaaraHuo mfumo wa biashara za nyumbani wanauweza wahindi ila kwetu kibongo bongo ni ngumu ukute ukoo mzima unawategemea nyie. So ni bora chako kidogo so mm nashauri uende kazini.
Kama wazazi wamsomesha na wanataka asimamie biashara za home na zina mtaji na mwelekeo mzuri hanabudi kubaki ktk biashara za home. Akilazimisha na wazazi wakanuna, huko serikalini hatafanikiwa. Nilikuwa na rafiki yangu Oljoro JKT baada ya FORM 6 in the '90s. Baba yake alikuwa mfanya biashara mkubwa na akamshauri asiende JKT pamoja na elimu ya juu, jamaa akakataa. Baba akanuna, siku moja weekend tunatoka Oljoro JKT kwenda Arusha mjini (30 km) wengine tulitembea kwa miguu na wenginen walisubiri malori ya mchanga. Wakati yeye na wenzake wanadandia lori yeye aliteleza na kudondoka barabarani na lori likampitia unyayo hadi kichwani na safari yake ikaishia palepale.Umeandika kwa usahihi kweli??..
Nakushauri kama ifuatavyo:Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Umewahi kukaa kuwaambia wakulipe mshahara wakakataa?Biashara ni ya wazazi sio ya ukoo ,halafu kingine hawanipi mshaara
PraiseHabari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Ndugu gani wanaokushauri hivyo? Si unasema mko watoto wawili tu? Sasa ndugu gani anayekushauri ukaajiriwe uwaanche wazee wanateseka na biashara? Hao ndugu wanafanya kazi kwenye hayo maduka? Wanawaibia hao wazee wanaona kabisa ukiwapo wewe utadhibiti wizi pumbavu!!!Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Habari za asubuhi?

Si amesema wana dispensary pia? Hapo hapo ndipo penye fursa!Kama una interest za ku-practice hiyo taaluma yako nenda kwenye hiyo ajira, ingawaje unaweza kuwashauri wazazi wako wakuwezeshe ufungue clinic ambayo itakuwezesha wewe ku-practice taaluma yako na kusimamia hiyo biashara ya wazazi wako. Ushauri wa pili ni wa busara zaidi kwa sababu huko kwenye ajira unaweza kupata frustrations endapo huja meet expectations zako.......nafikiri huwa unasikia malalamiko ya miaka nenda rudi ya watumishi kuhusu kulipwa mishahara midogo isiyoendana na hali halisi ya maisha plus kukutana na maHR wenye roho mbaya na maneno ya kukatisha tamaa.
Kumbuka ni vigumu sana serikali kufilisika.Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Yaaa, kuna madaktari ambao wanafanya kazi serikalini na wana hospitali zao pia, kama analiweza hili anaweza kutengeneza connection ya kupata wateja kwenye clinic na kwenye pharmacy yake ambao atakuwa anawahudumia kwenye muda wake wa ziada, pia akifanya kazi ya serikali atapata experience na exposure kubwa na akifanikiwa hili anaweza hata kuajiri watu wa kuendesha pharmacy na clinic yake yeye akabaki kuwa msimamizi mkuu na kuendelea na mishe zake kwenye ajira ya serikali.....Nakushauri kama ifuatavyo:
Kwanza naamini umepangiwa kituo cha mbali na familia yako inayokutegemea katika usimamizi wa biashara za familia, kama jibu ni kweli nakuomba uende kuripoti katika kituo chako ulichopangwa, fanya kazi upate cheque number na mshahara uanze kuingia, baada ya hapo tafuta konekisheni ya uhamisho ili uhamie karibu na sehemu zilipo biashara zenu, utafanya kazi serikalini na jioni/weekend ,usiku utakuwa katika kusimamia biashara za familia. Madaktari wengi wamefanya hivyo na wamefanikiwa. Hakikisha unatumia muda vizuri wa kazi za serikali na usikubali kuongeza muda wa ziada hata kama kuna extra duty packages ili upate muda mzuri kusimamia biashara.Pia utapata fursa ya wateja ambao watakufuata mpaka kwenye biashara zenu