USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,444
Habari za asubuhi?

Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .

Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.

Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .

Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
 
Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.

Nenda kwenye ajira serikalini kwa minajiri ya kupata uzoefu wa kazi na kupata connection zitakazokusaidia baadae kusimamia vyema biashara hizo. pia kuna discipline flani ya pesa na kazi utaipata kazini na unaweza kuwa unazisimamia biashara hizo ukiwa bado kazini
 
Habari za asubuhi?

Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .

Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.

Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .

Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Wazazi wazazi wazazi. Wewe unamiliki Nini?
 
Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24

Waeleze wazazi wakulipe kama unavyotarajia kwenda kulipwa huko serikalini. Jambo jingine hebu jiulize ulisoma ulichosoma ili iweje? Kama unaangalia security ya kazi basi utakuwa ni muoga wa maisha . Miaka mitano iliyopita kazi serikalini zilionekana hazina any security. Kama bussiness ya home unaielewa Baki simamia.
 
Habari za asubuhi?

Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .

Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.

Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .

Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Kwahiyo kwenye hiyo dispensari ya familia hakuna security ???

Na je hiyo dispensary ya familia ni nani anafanya kazi?

Anyway, Gross salary ya C.O. Tsh 680,000 per month.
 
Habari za asubuhi?

Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .

Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.

Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .

Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Ajira huwa zinamwisho,wasikilize wazazi kama ni muhitimu vizuri ukasimamie hiyo biashara ya kwenu kwani kuna mapungufu yatakuwepo,wewe kaongezee ufanisi ili pia uajiri na wenzako.Ua sio ndugu zangu?!
 
Acha ujinga.
Wazazi wana mali kwanini usizisimamie?
Yaani ukienda kwenye ajira sababu ya kudanganywa kuna security basi wewe ni kichaa.
Wenzako tupo serikalini, huku tumeshikwa kwasababu hatukuwa na misingi . Wewe wazazi wamekutafutia mali unaanza kuwasikiliza ndugu ambao ukianguka watashangilia.
Note: Ndugu wa Kiafrika ni mnafiki
 
Back
Top Bottom