Ushauri: Ni wakati muafaka kwa baraza jipya la mawaziri

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,954
WanaJF,
Huu ni ushauri au maoni yangu binafsi kama raia wa nchi hii,na katiba inaniruhusu kutoa maoni yangu.

Kwa hali halisi ya kisiasa inayoendelea hapa nyumbani tanzania .
Ni kama vile baadhi wateuliwa aidha hawakuwa wamejiandaa kwa nafasi walizopewa ili kulitumikia taifa letu maendeleo kulingana na ilani ya chama tawala ccm.

Hii inaonekana wazi kwamba wengine ni kama hawamuelewi aliyewateuwa ili wamsaidie katika falsafa yake ya HAPA KAZI TU.

Nasema hivyo kwa sababu ni wazi kwamba tunashuhudia wengi wakishindwa kuimudu kasi ya Mh rais,na matokeo yake tunaona viongozi wengi wakifanya au kutoa maamuzi ambayo unaweza kudhani serikali haina maamuzi ya pamoja kutokana na vikao vya pamoja vya baraza la mawaziri ili kuwa na sura ya uwajibikaji wa pamoja kama serikali kimaamuzi.

Matokeo yake ndio tunaona kila siku rais analazimika kutengua maamuzi mbalimbali kutoka kwa wateule wake ikiashiria kwamba hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kati ya Mh rais na wateule wake kiushauri kabla ya matamko na maamuzi (mengime yakiwa makubwa kabisa)kutolewa hadharani.

Inatuwia vigumu wananchi wengi kuelewa kama haya yote ni kwa bahati mbaya au kuna tatizo mahali filani?.

Na ndio pale inapofikia baadhi yetu kama mimi commonmwananchi,raia wa chini kabisa ninayaona hivi,kulikoni jamani?au ndio kushindwa kuhimili kasi ya bulldozer JPM?
Kwa sababu wengi tunaona na kuamini mh rais ana nia ya kirudisha nchi kwenye mstari ili kila mmoja wetu aweze kufaidi mafao ya raslimali za mchi yetu ambazo kwa miaka nenda rudi tumeshuhudia zikiwanufausha baadhi ya wachache huku wengi tukiumia.

Sasa cha ajabu ni haya tunayoyaona ni kana vile wengi waliimba mabadiliko bila kutafakari ni aina gani ya mabadiliko tuliyokuwa tunayalilia,wengi bado kama vile wanaamoni bado tuna rais wa business as usual!

Hapana kama watanzania tuliimba mabadiliko mbona tunashindwa kubadilika tunabakia kuwa wapinga kila jema linalokusudiwa au linlalotekezwa na serikali?

Kila mtanzania sasa ni mpiga filimbi bila kujua kila mabadiliko yana gharama zake,na haya yanayotokea sasa ndio ghara zenyewe ili kuyafikia mabadiliko tuliyoyataka na JPM akakubali kujitwisha mzigo wa kuyaleta,

Binafsi nadhani ni vema Mh Rais JPM akaamua namuaminia kwa maamuzi magumu.
Kama kamanda wa vita hii ngumu ageuke nyuma na kuangalia kikosi chake upya na wale waliochoka ikibidi wamwambie kuwa hapo ndio mwisho wa pumzi yao. Kwa Hiari yao wenyewe ili apanguwe na kupanga kikosi kipya ili kumalizia dakika tisini tukiwa na team imara na inayomuamini kapteni wao kizalendo,

hapa ninashauri itikadi tuweke penbeni hata kama wako upinzani lakini wana nia na imani ya kumsaidia rais yeye achaguwe majembe yake kazi iendelee.cha msingi wananchi walichoka na dhuruma,rushwa kubwa na ndogo,kuzorota kwa hiduma za jamii ,kama afya,elimu,mawasiliano na miundombinu nk.
Mh JPM umeonyesha nia ya dhati kwa mba hata wewe ni mchukia yote hayo hivyo songa mbele wananchi wana imani na wewe.

Na la muhimu team hii baada ya usajjili wa dirisha dogo basi wapewe semina elekezi ili watakapoingia uwanjani wajuwe style ya mchezo ikoje na hatutayaona kama yanayotokea sasa

Mungu ibariki nchi yetu nyumbani Tanzania
Amen
 
Vote of no confidence, we can't accept double standards
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Haiwezekani Mkulu huyo huyo anayehimiza kila siku kuwa serikali yake inasimamia haki, lakini hapo hapo anamtia kiburi 'mwanaye' wa hiyari afanye lolote hapa nchini kama vile yupo above law......

Most likely is our Parliament in it's next session to give a vote of no confidence to our Presidaa........
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Haiwezekani Mkulu huyo huyo anayehimiza kila siku kuwa serikali yake inasimamia haki, lakini hapo hapo anamtia kiburi 'mwanaye' afanye lolote hapa nchini kama vile yupo above law......

Most likely is our Parliament in it's next session to give a vote of no confidence to our Presidaa........
And if the majority of CCM will vote yes, general election will be called.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Haiwezekani Mkulu huyo huyo anayehimiza kila siku kuwa serikali yake inasimamia haki, lakini hapo hapo anamtia kiburi 'mwanaye' afanye lolote hapa nchini kama vile yupo above law......

Most likely is our Parliament in it's next session to give a vote of no confidence to our Presidaa........
And if the majority of CCM will vote yes, general election will be called.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Haiwezekani Mkulu huyo huyo anayehimiza kila siku kuwa serikali yake inasimamia haki, lakini hapo hapo anamtia kiburi 'mwanaye' afanye lolote hapa nchini kama vile yupo above law......

Most likely is our Parliament in it's next session to give a vote of no confidence to our Presidaa........

Kwa nchi na katiba ipi kwa vote of no confidence?
Unaota come pain? Au kampeni!....hayo unayaota si kwa sasa bulldozer nado linarekebisha road to success for the new era,kama tatizo ni gesi asilia semeni tuwaelewae
 
Basi wote walioachishwa kazi na kifungwa kwa vyeti feki warudishwe makazini
Very true.

Haiwezekani kwenye nchi hiyo hiyo moja, wengine wakifoji vyeti ionekane ni kosa la jinai na watimuliwe kazi na UNTOACHABLE mmoja kufoji kwake vyeti kupate 'blessings' toka kwa huyo huyo Presidaa na ionakane ni halali!

This is more than double standards!!
 
Very true.

Haiwezekani kwenye nchi hiyo hiyo moja, wengine wwakifoji vyeti ionekane ni kosa la jinai na watimuliwe kazi na UNTOACHABLE mmoja kufoji kwake Cheri kupate 'blessings' toka kwa huyo huyo Presidaa na ionakane ni halali!

This is more than double standards!!
Kwa hili hii ego ya mkulu imemuacha pabaya.
 
And if the majority of CCM will vote yes, general election will be called.

Are you sure about the ccm majority,to support of what you call vote of no confidence?

And leave the thugs enjoying the survival of fittest?

Let's wait and see time never lie God bless the Tanzanians
 
Back
Top Bottom