Ntajitahidi ila hata ikitokea mara moja moja sio mbaya,ila lengo langu kuu lipo upande wa kujijenga kiuchumi zaidi.Ukifika tu usitombe miaka 3 dem utafanikiwa
Habari wakuu...
Niende moja kwa moja,ni hivi nataka kuhamia MBEYA na lengo langu ni kuishi moja kati ya sehemu nilizotaja hapo juu,"TUKUYU ama KYELA.
LENGO KUU
Kuishi sehemu ambayo sitatumia zaidi ya 2500/= kwa upande wa chakula,na nishibe vizuri tu.Niwe chimbo uko nidundulize walau nikirudi Dar es Salaam nifanye kitu cha maana.
Kwanini Mbeya?
Napenda sana mikoa yenye baridi lakini pia chakula cha kutosha.
Sehemu yenye baridi hakuna matumizi kama ya Feni,Jokofu(Fridge) n.k
Sasa kwanini Tukuyu na Kyela? na si kwingine?
TUKUYU
Kwa utafiti mdogo nilioufanya naskia hii ndo sehemu ambayo huwa na baridi sana kuliko zote mbeya.
Lakini pia kwa mtu kama mimi ninayeenda kuanza maisha vyumba vya 10,000/= mpaka 20,000/= kwa mwezi napata.
Naskia pia kuna ndizi za kutosha.
KYELA
Huku naskia mchele mzuri na mtamu kwa gharama nafuu ndo kwao,pia samaki wazuri watamu kwa gharama nzuri pia wapo wa kutosha.
Wakuu hizi zote ni mbinu za kivita kuona walau kama tunaweza kuyashinda mapambano ya kiuchumi.
Hivo naomba kama kuna anayekaa au aliwahi kuishi sehemu hizo mbili anisaidie uzoefu wake na taarifa kwa kina.
NB
Nataka nikaishi maisha ya hadhi ya chini tu(nipo tayari) ila yenye MALENGO.
Naamini baada ya miaka mitano sintakua mimi yule.
"Tough times never last,but tough people do".
Napenda sana iyo hali.Tukuyu ila baridi lake sasa. Kule hakuna jua.
Maisha yanaendeleaTukuyu ila baridi lake sasa. Kule hakuna jua.
Kama Moscow vilee...raha sana.Maisha yanaendeleaView attachment 1125402
Karibu kumyetu ndaghaaa
Kiswahili basi wakuu...tufaidi soteAlimkafu?
Maparachichi na ndizi za kuchoma/kukaanga,maziwa ya mgando lita sh1,000,samaki wa ziwa nyasa wanapatikana kwa wingi boda ya Kasumulu.Kama Moscow vilee...raha sana.
Hali kama hii upo zako ndani unaangalia mpira ama movie, huku una uhakika wa chakula cha kutosha tena asilia(Natural).....Mungu akupe ninii
Kiswahili basi wakuu...tufaidi sote
Mkuu unataka kuleta tena vita ya ukabila mkuu,watu wataacha kutema madini waanze majibizano yaliyo nje ya mada.Thread iko page ya pili ila mpaka sasa sijaona wapinzani wetu hawa mafala na malofa wahaya na wachagga hawatia neno baya lolote so far juu yetu.
...proudly Nyakyusa land.
Mjini ni "Final Destination".njoo mjini..achana na maisha ya huko porini
kyela ndo mpango mzima,2500 kwa msosi mmoja we boss,kwanza utanawiri sana,samaki mbasa,mberere wali ndo nyumbani kwake,beach kama lote,,matema,itungi etc,hutarudi tena mjini.Habari wakuu...
Niende moja kwa moja,ni hivi nataka kuhamia MBEYA na lengo langu ni kuishi moja kati ya sehemu nilizotaja hapo juu,"TUKUYU ama KYELA.
LENGO KUU
Kuishi sehemu ambayo sitatumia zaidi ya 2500/= kwa upande wa chakula,na nishibe vizuri tu.Niwe chimbo uko nidundulize walau nikirudi Dar es Salaam nifanye kitu cha maana.
Kwanini Mbeya?
Napenda sana mikoa yenye baridi lakini pia chakula cha kutosha.
Sehemu yenye baridi hakuna matumizi kama ya Feni,Jokofu(Fridge) n.k
Sasa kwanini Tukuyu na Kyela? na si kwingine?
TUKUYU
Kwa utafiti mdogo nilioufanya naskia hii ndo sehemu ambayo huwa na baridi sana kuliko zote mbeya.
Lakini pia kwa mtu kama mimi ninayeenda kuanza maisha vyumba vya 10,000/= mpaka 20,000/= kwa mwezi napata.
Naskia pia kuna ndizi za kutosha.
KYELA
Huku naskia mchele mzuri na mtamu kwa gharama nafuu ndo kwao,pia samaki wazuri watamu kwa gharama nzuri pia wapo wa kutosha.
Wakuu hizi zote ni mbinu za kivita kuona walau kama tunaweza kuyashinda mapambano ya kiuchumi.
Hivo naomba kama kuna anayekaa au aliwahi kuishi sehemu hizo mbili anisaidie uzoefu wake na taarifa kwa kina.
NB
Nataka nikaishi maisha ya hadhi ya chini tu(nipo tayari) ila yenye MALENGO.
Naamini baada ya miaka mitano sintakua mimi yule.
"Tough times never last,but tough people do".
Let me thank you in advance mkuu.Mkuu natokea kyela, ila Tukuyu ni sehemu ya ndoto zangu...maisha ni rahisi vyakula bei chee maziwa,ndizi,mdudu(mnyama haramu anapatikana hadi kwa jero)
Thank me later
Ila wakuu walotangulia wanadai Kyela joto sana kama Jijini vile,na mimi joto hatupatani.kyela ndo mpango mzima,2500 kwa msosi mmoja we boss,kwanza utanawiri sana,samaki mbasa,mberere wali ndo nyumbani kwake,beach kama lote,,matema,itungi etc,hutarudi tena mjini.
Nenda Tukuyu. Green city.Napenda sana iyo hali.
Labda niwe muwazi tu,huwa nikiwa sehemu za joto Malaria inanionea sana,ila sehemu ya baridi mbu hakuna,hivo hakuna hata haja ya chandarua,maisha yanakua mepesi kiasi fulani.
Pia kwenye baridi hakuna ubishoo,unapigilia mkoti wako mwanzo mwisho....dah sjui ata nisemeje ila napenda sana maisha ya kwenye baridi