Ushauri: Ni sehemu gani nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu ama Kyela?

Maparachichi na ndizi za kuchoma/kukaanga,maziwa ya mgando lita sh1,000,samaki wa ziwa nyasa wanapatikana kwa wingi boda ya Kasumulu.
Ishi Kk au Kiwira. Kyela maisha ni magumu sana kuyaanza
Mkuu uwe na heshima japo kidogo na miji ya watu. Unawezaje ukataja vyote hivyo halafu kwa makusudi unaacha kutaja kitimoto ya kule ambazo hufugwa na nyingine hujichunga zenyewe migombani!
 
Kwa kuongezea pia wanyakusa wa kyela ni kama wacongo mani afu wanafiki wanapenda kujikweza sana halafu wana dharau mbaya sana vijana wa kyela hawataki kufanya kazi tofauti na Wa tukuyu.Ukitaka kuamini pale boda ya ksumulu huwa kuna mnada unaitwa MONDAY MONDAY,wajasiliamali asilimia 90%wanatoka tukuyu.Mkuu nenda Tukuyu bana.Vijana wengi wa kyela wenapenda UKUHADI.
 
Dah
 
Kyela wanawake wako kama wazaramo kujipodoa kwa sana halafu wavivu.Tukuyu wanawake ni wachapa kazi haswa
 
Habari wakuu...

Niende moja kwa moja,ni hivi nataka kuhamia MBEYA na lengo langu ni kuishi moja kati ya sehemu nilizotaja hapo juu,"TUKUYU ama KYELA.

LENGO KUU

Kuishi sehemu ambayo sitatumia zaidi ya 2500/= kwa upande wa chakula,na nishibe vizuri tu.Niwe chimbo uko nidundulize walau nikirudi Dar es Salaam nifanye kitu cha maana.

Kwanini Mbeya?
Napenda sana mikoa yenye baridi lakini pia chakula cha kutosha.
Sehemu yenye baridi hakuna matumizi kama ya Feni,Jokofu(Fridge) n.k

Sasa kwanini Tukuyu na Kyela? na si kwingine?

TUKUYU
Kwa utafiti mdogo nilioufanya naskia hii ndo sehemu ambayo huwa na baridi sana kuliko zote mbeya.
Lakini pia kwa mtu kama mimi ninayeenda kuanza maisha vyumba vya 10,000/= mpaka 20,000/= kwa mwezi napata.
Naskia pia kuna ndizi za kutosha.

KYELA
Huku naskia mchele mzuri na mtamu kwa gharama nafuu ndo kwao,pia samaki wazuri watamu kwa gharama nzuri pia wapo wa kutosha.

Wakuu hizi zote ni mbinu za kivita kuona walau kama tunaweza kuyashinda mapambano ya kiuchumi.

Hivo naomba kama kuna anayekaa au aliwahi kuishi sehemu hizo mbili anisaidie uzoefu wake na taarifa kwa kina.

NB
Nataka nikaishi maisha ya hadhi ya chini tu(nipo tayari) ila yenye MALENGO.
Naamini baada ya miaka mitano sintakua mimi yule.

"Tough times never last,but tough people do".
Kyela ni joto kali na linapausha ni home huko... Na maisha sio maraisi kivile labda kama unapika... Ila kununua ni sawa ni dzm...

Sijui unataka ukafanye mishe gani
 
Habari wakuu...

Niende moja kwa moja,ni hivi nataka kuhamia MBEYA na lengo langu ni kuishi moja kati ya sehemu nilizotaja hapo juu,"TUKUYU ama KYELA.

LENGO KUU

Kuishi sehemu ambayo sitatumia zaidi ya 2500/= kwa upande wa chakula,na nishibe vizuri tu.Niwe chimbo uko nidundulize walau nikirudi Dar es Salaam nifanye kitu cha maana.

Kwanini Mbeya?
Napenda sana mikoa yenye baridi lakini pia chakula cha kutosha.
Sehemu yenye baridi hakuna matumizi kama ya Feni,Jokofu(Fridge) n.k

Sasa kwanini Tukuyu na Kyela? na si kwingine?

🔹TUKUYU
Kwa utafiti mdogo nilioufanya naskia hii ndo sehemu ambayo huwa na baridi sana kuliko zote mbeya.
Lakini pia kwa mtu kama mimi ninayeenda kuanza maisha vyumba vya 10,000/= mpaka 20,000/= kwa mwezi napata.
Naskia pia kuna ndizi za kutosha.

🔸KYELA
Huku naskia mchele mzuri na mtamu kwa gharama nafuu ndo kwao,pia samaki wazuri watamu kwa gharama nzuri pia wapo wa kutosha.

Wakuu hizi zote ni mbinu za kivita kuona walau kama tunaweza kuyashinda mapambano ya kiuchumi.

Hivo naomba kama kuna anayekaa au aliwahi kuishi sehemu hizo mbili anisaidie uzoefu wake na taarifa kwa kina.

NB
Nataka nikaishi maisha ya hadhi ya chini tu(nipo tayari) ila yenye MALENGO.
Naamini baada ya miaka mitano sintakua mimi yule.

"Tough times never last,but tough people do".
Unaenda kupiga mishe gani tuchangiane hela ya room.
 
Back
Top Bottom