Ushauri:ni kazi bure kwa mawaziri/viongozi wa umma kutoa matamko bila mpango mkakati

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Kumekuwa na tabia ya Mawaziri na Viongozi wa Umma kutoa matamko mbali mbali kwa kisingizio cha #HapaKaziTu# bila hata kuweka mipango mikakati shirikishi.

Matamko haya hayawezi kutatua matatizo ya wananchi na ni dalili za utawala wa kiimla, ambapo viongozi hutoa Amri zaidi kuliko wao kushiriki kutengeneza mipango mikakati pamoja na wale wanaowangoza.

Kumbukeni Mipango Mikakati Shirikishi ndio njia pekee ya kutatua matatizo ya wananchi. Na matamko bila mipango mikakati shirikishi ni viashiria vya utawala wa kiimla.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom