Ushauri: Ni kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari?

KUMBAMBANDILA

Member
Feb 21, 2016
86
62
Nataka kuagiza gari aina ya Kluger V, najua hapa JF kuna watu wengi wamewai kugiza magari nnje ya nchi.

Napenda kujua kampuni gani mzuri zaid kuagiza gari, kwenye swala zima la usalama na kuwai kufika.

Natanguliza shkran zangu kwenu wadau.
 
mkuu umeghairi kununua PRADO
 
Trade carview iko vizuri sana kuna jamaa yangu kapata gari hiv karibuni bila tatizo tena wanakuapdate weeks, days final hours
 
Check with real motor wana magari standard bei nzuri na hawachelewi..tusikariri be foward na trade carview mnagongwa hukoooo..
 
Nataka kuagiza gari aina ya Kluger V, najua hapa JF kuna watu wengi wamewai kugiza magari nnje ya nchi.

Napenda kujua kampuni gani mzuri zaid kuagiza gari, kwenye swala zima la usalama na kuwai kufika.

Natanguliza shkran zangu kwenu wadau.
Imalaseko Super market
 
Check with real motor wana magari standard bei nzuri na hawachelewi..tusikariri be foward na trade carview mnagongwa hukoooo..
Real motors, auto rec na Royal trading wanauza magari mazuri kwa bei nafuu sana.
 
Back
Top Bottom