USHAURI: Ng'ombe wangu anajinyonya maziwa

Wapatie minerals za kutosha, nenda kwenye agrivet watakupa!
Hata kuku pia wanakula mayai, shida huwa ni hiyo hiyo!
Milk ni complete food kwa hiyo wanajaribu kupata mineral ya kutosha either kwa kuwapa walambe au uwawekee kwenye maji!

Hili ndio jibu sahihi...Ng'ombe wako ana upungufu wa madini....na hapa nahisi ni Calcium nenda duka la mifugo watakupa jiwe la ng'ombe kulamba, hata kuku akikosa Calcium huwa anakula "mayai" but hapa shida yake ni ile Calcium iliyopo kwenye ganda la yai
 
Uko sahihi mkuu!
 
Kuna madini anayakosa kwenye chakula unachompa. Kama sikosei nadhani itakua ni madini ya calcium
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom