Ushauri: Ndugai aige ubunifu, uthubutu na uchapakazi wa Makonda bunge litachangamka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Kiukweli bunge letu bado halijarejea kwenye spidi na viwango kama inavyotakikana na ilivyotegemewa. Hivyo ni vema likajikita katika ubunifu na ikiwezekana Spika akope maarifa kwa kijana mchapa kazi anayeliongoza jiji mashuhuri la Tanzania, Dar es salaam RC Makonda!!
 
Makonda kawakomesha vibaya sana wabaya wake
Ukishajiona ww ni mkuu wa mkoa, halafu una watu ambao unaita ni "wabaya wako", ujue wewe una mapungufu. Ile ni post ya kuteuliwa, so sidhani kama kuna watu unaoshindana nao mpk muwekeane uhasama.
 
Back
Top Bottom