Ushauri:Nataka nifuge paka

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko.
Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri na vinavutia sana.
Hapa nilipo bado i am quite convinced i do need a cat hapa napokaa so next week itabidi niende kuchagua nimlete paka kwangu.
Mazingira ya hapa pana nyumba kubwa ya mama mwenye nyumba na kwa nje tupo wapangaji watatu , Nyumba hii ina frnsi ndefu, geti, miti ya matunda, na pia mama wa hapa anafuga kuku wa kienyeji kwa ufupi eneo la hapa ni kubwa sana na lipo fenced.
Mama mwenye nyumba hana shida anaruhusu kufuga pets ila usafi na kumlisha ni juu yako
Je ni mambo gani ambayo ungependa kunijuza kuhusu ufugaji wa paka ???
 
Unaonekana una hela jenga nyumba yako ndo uanze kufuga wanyama uwapendao. Hata nyumba ikiwa kubwa kama uwanja wa Taifa bado hauna hati miliki ya kujiamulia kufuga mnyama bila ruhusa ya mwenye nyumba

sipendi paka jamani uwiii ningekua mwenye nyumba wako nishakutimua zamani
 
Fensi ndefu, geti na miti ya matunda.
Hapo kwenye hiyo miti kama ipo karibu na fensi basi huyo paka lazima akapige misele nje.
 
Hakuna wanyama wazizinzi km paka mkuu, half hutokuja kuwafumania blv mee.., nilishawah wafuga siku ya kwanza tuu kana mademu km wannne hiv mlangoni, mpk nikahis ana jini mahaba, alivyozoea akaanza kuruka fency, Akaanza na dharau nikatimua kbsaa asaiv ashakua paka shume

Mmmh jamani!
 
Hakuna wanyama wazizinzi km paka mkuu, half hutokuja kuwafumania blv mee.., nilishawah wafuga siku ya kwanza tuu kana mademu km wannne hiv mlangoni, mpk nikahis ana jini mahaba, alivyozoea akaanza kuruka fency, Akaanza na dharau nikatimua kbsaa asaiv ashakua paka shume
daaaah Ila we jaa kiboko
 
paka wanapenda raha sana, sipendi paka alale kitandani kwangu(hiki kitu wanapenda sana,)
Alafu vile mtu ukikaa yeye anakuja kujisugulia kwenye miguu basi I hate hiyo tabia
Hahaha wataalamu wanasema paka akija kujisugua kwenye miguu yako eti ni ishara ya trust .
Anyway, mi mwenyewe nawapenda sana ila sio kila paka maana wengine ni wakali, wachafu na hawapendeki.. Huwezi hata kumbeba
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom