NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,380
Eid Mubarak Waungwana,
Nina jambo linanitatiza kichwa na sijui hata niamue vipi, mtoto wa shangazi yangu amefariki amewacha watoto wa5, lakini kabla ya kufariki mtoto wa shangazi niliongea na Dad kua nimejisikia vibaya kuona hali nilomkuta sasa nikamwambia Dad acha nimchukue huyu mtoto wa kike as niko na watoto wa kike nisingependa kumuona mtoto yule anakulia kwenye mazingira ya ajabu.
Dad kasema sawa, siku ilofatia nika omba shangazi aje Dad na mtoto wa shangazi yangu mkubwa wa yule mgonjwa, nikamuomba mgonjwa kua anipe mtoto nimsaidie kulea na mimi ndio ntakua responsible kwa chochote cha yule mtoto sio yeye tena kuanzia shule na maisha yake yote, masikini hakukataa baada ya 2days akafariki, mimi nikawa nimesha chukua jukumu.
Baada ya mazishi watu wakagawana watoto mimi nikasema huyu mmoja ananitosha, wakabakia wa 4 dad akachukua 2 kids na 2 wakawa kwa bro, sasa jana huyu mtoto mkubwa wa shangazi amekuja anasema amekuja kumchukua huyu binti ninaekaa nae anataka kuishi nae na mtoto yuko shule na wenzie anasema atampeleka shule akajifunze Hotel managemnt.
She is only 18 yrs na mtoto anavalishwa ma baibui anabanwa mtu na shape yake mimi namfunga funga, shangazi nimemwambia hasemi kitu Dad anasema mpe jamani huyu mtoto ataharibika as huyu mtoto wa shangazi watoto wake hakuna hata alomaliza hata la 7 iweje leo akamsomeshe mtoto wa mdogo wake, kwenye issue kama hii wapi niende as huyu binti atapotea nahitaji msaada, sina shida ya wa toto ninao wangu 6 Alhamdulillah ila huyu anahitaji kusoma sio kwenda kumufanya akawa hana maisha najisikia vibaya sana au niwache kama ilivyo? Na je huyu mtoto akishaharibika nani atakua responsible as she is only 18
Nahitaji msaada wenu wa mawazo please.
Hapo nimekupeni kwa ufupi ili nisiwachoshe.