Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,135
- 2,469
Siyo sahihi
Unaweza tu kuangalia namna ya kupunguza gharama na kufanya sherehe ya kawaida
Unaweza tu kuangalia namna ya kupunguza gharama na kufanya sherehe ya kawaida
Mtu anataka mchango halafu anakukumbushia kila siku, halafu aile hela---aaaaah wapi!mzee walevi wameshaanza kukurukia, kuwa makini. nilikwambia jenga nyumba wenye akili watakuelewa, alfu hamsini kwa mtu aliyeamua kuachana na kupanga nyumba ajenge yake unaweza samehe. ila walevi kama huyu patachimbika, jiandae.
mimi kama ndio ningekuwa nafunga ndoa leo, iyo hela ipo mkononi mwangu au hata kama ipo kwa mchangishaji ambaye ni ndugu yangu, naenda kuinyang'anya nafanay jambo la maana, mengine baadaye. hakuna atakayekushtaki kwa alfu 30 au 50 wewe.Bongo raha dah unachangiwa milioni 42 kwenye harusi yako wewe 😱Naelewa ni busara kujenga kuliko sherehe lakini watu wamejitolea inabidi waenjoy pesa yao tafadhali acha ubinafsi.Ukitaja kujenga tafuta kwa jasho lako!
fanya tu kajenge, ila kikinuka vibaya mwanangu unaweza kwenda jela. omba kusiwe na mjeda, polisi, mwanasheria au mlevi kwenye wachangiaji, watakukamua macho.Usijitafutie laana ya bure.
Yaani wewe umekata tamaa kuwa huwezi kujenga kwa pesa yako?
Au unapenda ujengewe nyumba na watu wengine?
Je utaweza kumudu matumizi ya kila siku na huyo mkeo/watoto?
Kama bado hujajipanga nakushauri acha kuoa mkeo ataliwa ili akutunze kwa mahitaji ya ndani.
Basi angeomba mchango wa kujenga sio wa harusi. Si sawa kwa wahusika alowachaji mchango hata kama ni elfu 50,wanastahiki washuhudie harusi.Utapeli wa macho makavu loh....ingelikuwa watu wote wanafanya hivo basi kila mtu angekuwa na hekalu lake!Walau angesema anataka zawadi ya harusi lakini hafanyi sherehe hapo uone kama atapata 42million 😅😅😅mimi kama ndio ningekuwa nafunga ndoa leo, iyo hela ipo mkononi mwangu au hata kama ipo kwa mchangishaji ambaye ni ndugu yangu, naenda kuinyang'anya nafanay jambo la maana, mengine baadaye. hakuna atakayekushtaki kwa alfu 30 au 50 wewe. tunatumia karibia milioni kadhaa kula mivyakula siku moja tu alafu watu wanatawanyika wanawaacha ninyi wawili tu mnapigika na maisha,ndo nini ivyo?
Usawa wa Mwigulu huu..michango 42 mln and counting??duh...Konda NishusheWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
We usituzoee tutakutoa kishipa dogo!!!! Nataka ujue ulipo tupoWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Anza ujenzi fasta peleka tofali saivi usicheleweWadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
tukiongea ukweli wa moyoni, no man can live with that blame peacefully, itakusumbua moyoni, itakuathiri sio wewe tu bali hadi watoto wako, utajulikana ulikula michango ya watu, na watoto wako watajulikana ni watoto wa yule aliyekula michango ya watu, kiufupi unajitengenezea nembo yako ya aina ya tapeli. everybody will know you na utadharaulika sana.Morally huo ni wizi na utapeli..., ila logically ni busara... Swali la msingi can you live with your conscious ? Sababu unaweza kufanya tendo moja lakini likakuandama wewe na nafsi yako maisha yako yote...
Ila kama haujali its all good
Sawa ila Ndoa ikivunjika nyumba iwe mali ya kamati....Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu
Naomba ushauri
Unasubiri nini sasa? Wewe jenga fasta tunza mil 15. Siku ikifika nenda kaode mavyakula na pombe waambie bi harusi alihairisha ndoa wakati ushalipia vitu imekubidi uwafurahishe kwa hicho kidogo. Usiruhusu maswali mengi sana. Hakuna atakae kupeleka police maana vyakula vitakuwepo wavile waondoke.