Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
330
270
Habari zenu wakuu,

Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:-
~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games
~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge
~Display iwe kuanzia 14inches

Pia naomba kujua Duka linalouza PC kwa bei nafuu hapa Dodoma mjini.
Budget yangu ni 600k
 
600k unapata pc ya intel Celeron. ram 4 HDD 500

Hapo sasa sijui utacheza game la nyoka au tetris
 
Habari zenu wakuu,

Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:-
~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games
~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge
~Display iwe kuanzia 14inches

Pia naomba kujua Duka linalouza PC kwa bei nafuu hapa Dodoma mjini.
Budget yangu ni 600k
Hapa machine labda used Gen ya 6 ama ya 7, i5 6200u na i5 7200u. Zinakaa na charge kiasi chake na utacheza games nyingi.
Kuona hio processor nenda my computer kisha right click kisha properties.

Na mambo ya brand achana nayo, ila kama unaipenda hp sio mbaya cha muhimu hio Gen kagua
 
Nashukuru mkuu.
 
Mi naona kwa budget yako kupata inayokaa na chaji then uinjoy na betri so rahisi, maan PC nyingi zenye processor kubwa kwa ajili ya games hazikai na chaji, labda ukute hiz za budget ya juu..
Apo naona uangalie kipi ni muhimu, either Games au kusoma?
 
Mkuu kwa mfano nkakwambia nataka kununua pc tu, bila kukupa limitation yoyote utanshauri niandae sh ngapi? Iwe pc nzuri kwa kuzingatia ubora wako.
 
Sina uzoef na bei ya sasa ila kwa dukani andaa 900 na kwa mtu 650
 
Habari zenu wakuu,

Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:-
~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games
~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge
~Display iwe kuanzia 14inches

Pia naomba kujua Duka linalouza PC kwa bei nafuu hapa Dodoma mjini.
Budget yangu ni 600k
kama unamtu au ndugu aje dsm ofcn kariakoo tumpe machine nzuri mtumba kutoka nje pia tunazo na desktop aina zote maelezo zaidi nichek 0714689280
 
Hp elitebook G2 840 kwa 800k.
i5 5500u pia ina AMD r7 260 inacheza game nyingi kwa medium settings mpaka high.
Ina sehemu mbili za kuweka ram mpaka 16gb ila hdd utaweka size yako.
Inakaa na chaji kwa almost 8 hours kama unasomea tu.

Ila kwa gaming ili uweze sukuma game na AMD iwe active inahitaji iwe kwenye chaji.

Nadhani unaweza pata kwa hiyo bei yako maduka mengine.
 
Hapa machine labda used Gen ya 6 ama ya 7, i5 6200u na i5 7200u. Zinakaa na charge kiasi chake na utacheza games nyingi.
Kuona hio processor nenda my computer kisha right click kisha properties.

Na mambo ya brand achana nayo, ila kama unaipenda hp sio mbaya cha muhimu hio Gen kagua
Mkuu hivi generation naweza kuangalia sehemu gani?Ni hapohapo kwenye my properties?
 
Hp elitebook G2 840 kwa 800k.
i5 5500u pia ina AMD r7 260 inacheza game nyingi kwa medium settings mpaka high.
Ina sehemu mbili za kuweka ram mpaka 16gb ila hdd utaweka size yako.
Inakaa na chaji kwa almost 8 hours kama unasomea tu.

Ila kwa gaming ili uweze sukuma game na AMD iwe active inahitaji iwe kwenye chaji.

Nadhani unaweza pata kwa hiyo bei yako maduka mengine.
Hii ni used au mpya ??
 
Back
Top Bottom