Ushauri nataka kununua gari aina ya suzuki carry

gpblaze

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
304
14
Wadau naombeni ushauri wa aina yeyote mwenye uelewa wa magari na uzoefu wa gari aina ya suzuki carry na bei zake na wapi zinapatikana.
 
gari hii ni nzuri, economic fuel consumption up to 20km per liter, mwanzoni spare part ilikuw ni shida but now zinapatikana, haistahimili njia yenye mchanga mwingi au tope, it is not a family car only one passenger and driver,

kama unahitaji ninayo imeingia toka japan october mwaka huu, 1998 model, imepaki tuu , registration T ...CDM

pm for more
 
Back
Top Bottom