Hongera kwa kusubutu ktk kutafta kipato.Tayar nina frem..nataka kuchukua mkopo wa 4m kwa ajili ya kazi hiyo naombeni ushauri.
Kwa kuanza nao hao wengi sana......make sure uwe na PESA ZA KUWATOSHA WATEJA Hii itawafanya waje wengine na wengine.Epuka neno {SINA PESA PINDI MTEJA AKIHITAJI HUDUMA}Mzunguko sio mkubwa sana ila wateja hamsini kwa siku sikosi mkuu
Unaziuzaje mkuuHongera.ukiitaji laini TIGO pesa na M-PESA nione nikupe kwa bei nzur kabisa