Ushauri, nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza chaki

Kibwetelo

JF-Expert Member
Nov 21, 2018
734
596
Habari za mchana wakuu, kama kichwa kinavyoeleza, naomba kujua kwa wenye uzoefu nataka nianzishe kiwanda hapa home.

Naomba kujua
1.Capital ni kiasi gani
2.Soko lake lipoje
3.Mateial.
 
Habari za mchana wakuu, kama kichwa kinavoeleza naomba kujua kwa wenye uzoefu nataka nianzishe kiwanda hapa home.

Naomba kujua
1.Capital nikiasi gani
2.Soko lake lipoje
3.Mateial.
Achana na hiyo kitu ndugu yangu, unataka kununua umaskini halafu ujinyonge. TRA Watakumaliza kabla hata hujaanza uzalishaji. Hizo fedha zako kaweke kwenye fixed deposit uandae kilimo cha umwagiliaji mjomba. Achana na hiyo kitu.
 
A

Achana na hiyo kitu ndugu yangu, unataka kununua umaskini halafu ujinyonge.TRA Watakumaliza kabla hata hujaanza uzalishaji.Hizo fedha zako kaweke kwenye fixed deposit uandae kilimo cha umwagiliaji mjomba.Achana na hiyo kit

A

Achana na hiyo kitu ndugu yangu, unataka kununua umaskini halafu ujinyonge.TRA Watakumaliza kabla hata hujaanza uzalishaji.Hizo fedha zako kaweke kwenye fixed deposit uandae kilimo cha umwagiliaji mjomba.Achana na hiyo kitu.
Duuuh hii ni hataree kwa taifa sidhan kama nchi itaendelea
 
Halafu unawasikia TRA jana eti wafanyabiashara hawajakimbia kodi, wameondoka kwaajili ya sababu za kiafya sijui daa hii inchi sijui ila bom litakujapasuka tupo.
 
Mimi sikushauri huko unakotaka kujipeleka, kwa hali ya kibiashara ilivyo sasa jaribu kuwaza product nyingine . Angalau inayohusiana na vyakula au masuala ya afya ndio kuna unafuu.

Ni bora utengeneze mafuta ya nazi kuliko kutengeneza chaki.

Ni bora uwaze hata kufanya biashara ya nafaka.

Ni bora ufikirie hata biashara ya mayai au kufuga kuku wa mayai kisha unauza mayai kwa jumla.

Ni bora uanzishe kituo cha tuition na english course au OPEN School kuliko biashara ya chaki.
 
Kanuni ya biashara, fanya kitu unachohisi unaweza kukifanya, uwe una uelewa nacho na uwe na passion nacho. Kama hivi vitu anavyo muache afanye. Sasa hivi kuna wimbi la watu kukimbilia hii biashara kwakuwa tu wamesikia inalipa au wameona wale vijana wa maswa chalk
 
Shukrani mkuu kwa ushauri
 
Mim nataka nifanyie kijijini sio town maana nimeona huko hakuna watengenezaji.
 
Wateja wa hii biashara ni wenye stationery sababu daily production ni kubwa sana na hivyo ni lazima utafute soko mbadala ili uuze kwa jumla, kazi kubwa ni sales.. fanya utafiti usio na mashaka kabla hujaingia
Sawa mkuu ngoja nifwatilie
 
Back
Top Bottom