Ushauri nataka kuahirisha masomo kwa sababu za kushindwa gharama za masomo

Idrisa1510

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
248
500
Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata mkopo wa kujikimu nakugharamikia masomo.

Mzazi ni masikini na alikichangachanga nikafanikiwa kulipa nusu ya Ada ya mwaka na direct costs nikawa nimeanza asomo.

Lakini mpaka kufikia sasa naona kabisa mzazi kashindwa kuendelea kunilipia gharama za kimaisha za kila siku zahapa chuoni kiasi cha kulosa alternative way Zaid ya kufikiria nirudi nyumban kusubilia mwaka ujao kwani nililenga na kutegemea Sana kusoma Kwa mkopo wa serikali.

MSAADA KWENU NAOHITAJI NI NJIA AU HATUA NAZOWEZA FUATA ILI NIAHIRISHE AU NIONDOLEWE KABISA MIONGONI MWA WANAFUNZ WA CHUO HIKI ILI NIPATE FURSA YA KUOMBA TENA MWAKANI.

Kwa Aliye na uziefu au anafahamu kunusiana na jambo hili anisaidie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom