Ushauri: Nataka kuacha kazi lakini familia hainiungi mkono

Traits za kijasiriamali si kila mtu anazo na biashara inatakiwa mambo mengi so risk za biashara ndizo zina mtisha mkeo na ndugu zako so jitafakari then amua vilivyo vyema.
 
hivi una mda gani kazini mpaka ufikishe huo mshahara hapo halmashauri kwenu? mi nakuona kama muongo tu unaeuza maneno na kutaka sifa.maana mi mwenyewe nafanya kazi halmashauri.
 
tuko same boat..

lakini mimi wife imebidi anielewe tu.

na nashukuru ameelewa vizuri sana somo nililompa...

ushauri wangu wape somo tu,, kama anataka siku zote muwe na maisha hayo hayo baki kazini..

ila kama anahitaji one day nae aende vacation bangkok au paris kama wenzake kina nancy sumari, k lyn na wengineo.. lazima akubali kusapoti risk za ujasiriamali...

mi tangu nikiangalia ndugu zangu, majirani, na wafanyakazi wenzangu naona maisha yetu yanafanana fanana tu ya kuganga njaa pamoja na kufanya kazi miaka kibao... hakuna hata mmoja aliepeleka hata familia vacation siku moja japo serengeri grumeti tu...

lakini wajasiriamali wengi wao wanafanya mambo makubwa baada ya kusota kutafuta kwa jasho lao

nilijipeleka kulala weekend apo..
wana camps tano balaa..their most outstanding is the one at Kuria Hills.. $1300 per night
 
hivi una mda gani kazini mpaka ufikishe huo mshahara hapo halmashauri kwenu? mi nakuona kama muongo tu unaeuza maneno na kutaka sifa.maana mi mwenyewe nafanya kazi halmashauri.

Mbona 1100000/= ndio salary anayoanza nayo ajira Mpya kwa kada za afya kama pharmacist, hiyo ni TGHSD,huo mshahara unaukubwa gani,ndo maana watz tupo masikini sababu ya kuridhika kwa vitu vidogo,
Kwa hiyo ungekuwa wewe ndo unalipwa mshahara,ungeridhika na kuotesha kitambi kuwa maisha umeyapatia??
Kumbuka maisha ni zaidi ya kula na kitambi
 
Hivi vitu havihitaji ushauri hata Kutoka kwa mama yako, kwa vyovyote vile watakukatalia kuacha kazi na haya mambo yanatokana na jinsi jamii ilivyo.
Mimi nimeamua kuacha kazi baada ya kufanya kazi kwa miaka nane, nimeona nikiendelea na kazi maisha yangu yatakuwa yaleyale tu, baba yangu kufanya kazi miaka zaidi ya 35,mama yangu Ana karibia miaka 40 ya utumishi maisha Yao ni ya kawaida,mimi hayo Maisha si yataki .
Kwa kifupi wewe una ndoto ipi mimi ndoto yangu ni kujiajiri na nimeanza kuwekeza kwenye kilimo cha zao la Kahawa nina miaka minne Sasa kwenye mradi huo, bado sijavuna mazao ya kutosha lakini lengo langu ni kuwa na shamba kubwa Sana la Kahawa ingawa changamoto ni nyingi sijakata tamaa.
Sasa ili kuwa na mradi mkubwa kama huo siwezi tena kuajiriwa bali kuajiri na kuwasimamia wafanyakazi wenzangu wa kwenye shamba langu.
Kuna changamoto nyingi sana za kujiajiri inabidi uzikabiri bila kuziogopa.
 
Noted comrade,Nina ndoto kubwa, kwa sasa Nina of is I mbili japo zote nafanya Biashara aina Moja,ambayo kiukweli inalipa,lakini vili vile napanga kujihusisha na kili na ikiwezeka kuyaongezea thamani hayo mazao nitakayolima,tayari nimesha nunua shamba la ekari 100 ambalo kuanzi mwezi wa 10 nataka nianze angalau kuzilima ekari 50. Na kwa Biashara ninayofanya sasa yupo MTU mmoja ambaye ni mkongwe na mtaji Mkubwa baada kufanya NAE Biashara for over two years kasema yupo tayari kuni support nami nipanue wigo toka retail to wholesale,anachohitaji ni commitment yangu, yaani mfano akinipa Mzigo wa milioni 30, je nitaweza uza ndani ya siku 30 ,kitu ambacho naona kabisa nipo njia panda ,kuumaliza huo Mzigo inahitaji marketing ya nguvu,
Kiukweli Nina nia ya dhati kuondokana na utumwa wa halmashauri ambao nahisi kabisa wana under use ujuzi na utaalam wangu,zaidi naona kabisa masaa yangu nane hapa kazini yanapotea bure.
Nina ndoto za kuwa MTU wa msaada kwa nchi yangu, hofu kubwa niliyokuwa nayo ni kuona everybody is against my decision to leave the current job as council pharmacist. I want to get my self out of this poverty circle ,I need to get out of this comfort zone. Wakati mwingine huwa silali nikiwaza namna bora zaidi ya kufanya maamuzi magumu
 
Ndugu yangu huwezi kuishi kulingana na maoni ya watu. Ishi kulingangana na malengo, maono na ndoto ulizonazo. Acha kazi hata leo nenda ukawe mkrugenzi wa biashara zako mwenyewe achana na umaskini wa kuripoti kwa watu. Acha wafanyakazi wako waripoti kwako, weka mikakati ya biashara zako Utatoboa tu.
 
Nakushauri usiache kaz, bali tafta mtu qualified katika biashara unazojishughulisha nazo umlipe na kumsimamia unapokua free.
 
Ndugu yangu huwezi kuishi kulingana na maoni ya watu. Ishi kulingangana na malengo, maono na ndoto ulizonazo. Acha kazi hata leo nenda ukawe mkrugenzi wa biashara zako mwenyewe achana na umaskini wa kuripoti kwa watu. Acha wafanyakazi wako waripoti kwako, weka mikakati ya biashara zako Utatoboa tu.

Thanks
 
Mwalimu Shule ya msingi anayetaka kuja Bahi Mimi nije wilaya yoyote ya mkoa Wa Kilimanjaro tuwasiliane kwa no 0784 455405
 
Back
Top Bottom