Ushauri: Nashindwa kuendelea kutongoza pale mwanamke anaponiambia "nina mtu"

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,584
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego?

Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa mkoani vile.

Yani mwanamke akinijibu hivyo nabadilika haraka sura na kutega sura ya huruma kama nataka kulia vile.

Screenshot_2017-11-15-17-19-16.png

Naomba ushauri wenu wakuu,huwa mnaendelezaje mtongozo katika hali kama hii?

======
Nyie wanawake ambao hamna mtu inabidi mbadilike pale tunapowatongoza msiseme "Nina mtu" maana wengine tukisikia tu hiyo sentensi na saundi zinaisha kabisa

UPADATE:BAADA YA KUTUMIA MBINU ZA KIJASUSI NILIZOPEWA NA WATAALAMU WA KUTONGOZA HUMU JF NIMEANZA KUJIBIWA HIVI:

Screenshot_2017-11-16-18-55-02.png
 
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego?

Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa mkoani vile.

Yani mwanamke akinijibu hivyo nabadilika haraka sura na kutega sura ya huruma kama nataka kulia vile.

Naomba ushauri wenu wakuu,huwa mnaendelezaje mtongozo katika hali kama hii?

======
Nyie wanawake ambao hamna mtu inabidi mbadilike pale tunapowatongoza msiseme "Nina mtu" maana wengine tukisikia tu hiyo sentensi na saundi zinaisha kabisa
Kwa maneno mengine anakwambia 'nioneshe ni kiasi gani unanitaka'...
 
Sasa yule mtoto uliyemuona college ya humanities UDOM utamtongozaje?
Au unafikiri ni wewe pekee ndo uliyemuona? Mtoto wa chuga yule na mtu wake yupo huko now na jana walikuwa wote Alpha cafeteria mida ya saa tatu hivi.
Ongeza maarifa ya kutongoza dogo au tafuta pesa ikusaidie kutongoza.
 
Ndio mkuu natafuta pesa,ndio maana nimejiunga TMT
 
Nyie ndo watu mliokimbia mikoani sasa mko Dar mnakaa kwa Shemeji zenu mnafurahi kulala sebreni
Ona sasa dharau zenu. Kwa taarifa yako kwa watu wa mikoani hiyo issue ni ndogo. Demu akijibu hivyo ataitambua hela ni nini.
Tena mwambie eti anatusema wa mkoani akome. Ye alitaka amsubiri yeye tu
 
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego?

Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa mkoani vile.

Yani mwanamke akinijibu hivyo nabadilika haraka sura na kutega sura ya huruma kama nataka kulia vile.

View attachment 631321

Naomba ushauri wenu wakuu,huwa mnaendelezaje mtongozo katika hali kama hii?

======
Nyie wanawake ambao hamna mtu inabidi mbadilike pale tunapowatongoza msiseme "Nina mtu" maana wengine tukisikia tu hiyo sentensi na saundi zinaisha kabisa
sipati picha iyo sura ya huruma, kama ka nyani kalicho nasa kwenye mtego hahaha.....

HARAFU WEWE SI NDO YULE BWANA MDOGO WA INFO AMBAYE ULIKUWA UNAJISIFIA JANA UNAENDA KUTOA BOOM LAKO UKATUMIE NA WADADA WA HUMANITIES!!!

nakushauri endelea, mtafutaji hakosi au uwe unatumia strategies nyingine kama akisema aa mtu na una jua hana mkazie huyo kua nae karibu... hawa watu ni weak sana lazima atabadiri wazo tu
 
Sasa yule mtoto uliyemuona college ya humanities UDOM utamtongozaje?
Au unafikiri ni wewe pekee ndo uliyemuona? Mtoto wa chuga yule na mtu wake yupo huko now na jana walikuwa wote Alpha cafeteria mida ya saa tatu hivi.
Ongeza maarifa ya kutongoza dogo au tafuta pesa ikusaidie kutongoza.
Mkuu yule nikimpata nitaona hakuna nilichobakiza duniani hahaha
 
Usiwe unauliza kama wapo single au la... Hivyo yani alafu usitongoze mwanamke kwa meseji hapo anakua na confidence ya kukuchomolea mpaka sio vizuri.. Mpange mtoke nae out at least itakupa wepesi..

Kama anamuheshimu MTU wake kiasi ambacho hawezi toka na wewe mpotezee.. Sema siku akizinguliwa kidogo2 utaona anakutafuta mwenyewe...

Hapo kwako ndo patakua pa kuchukulia point..
 
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego?

Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa mkoani vile.

Yani mwanamke akinijibu hivyo nabadilika haraka sura na kutega sura ya huruma kama nataka kulia vile.

View attachment 631321

Naomba ushauri wenu wakuu,huwa mnaendelezaje mtongozo katika hali kama hii?

======
Nyie wanawake ambao hamna mtu inabidi mbadilike pale tunapowatongoza msiseme "Nina mtu" maana wengine tukisikia tu hiyo sentensi na saundi zinaisha kabisa
Inapendeza zaidi na wewe ukamwambia unayemtongoza kuwa una mtu ila ni shetani ndio kakutuma, hapo atakuonea huruma atakupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom