Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,276
- 6,584
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego?
Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa mkoani vile.
Yani mwanamke akinijibu hivyo nabadilika haraka sura na kutega sura ya huruma kama nataka kulia vile.
Naomba ushauri wenu wakuu,huwa mnaendelezaje mtongozo katika hali kama hii?
======
Nyie wanawake ambao hamna mtu inabidi mbadilike pale tunapowatongoza msiseme "Nina mtu" maana wengine tukisikia tu hiyo sentensi na saundi zinaisha kabisa
UPADATE:BAADA YA KUTUMIA MBINU ZA KIJASUSI NILIZOPEWA NA WATAALAMU WA KUTONGOZA HUMU JF NIMEANZA KUJIBIWA HIVI: