Ushauri namna ya kupata Schengen Visa

May 11, 2016
8
0
Habarini ndugu,

Ninaomba msaada wa mawazo, Nina mchumba anatokea Spain, ninaishi nae Tanzania takribani mwaka sasa.

Tumepanga kwenda kwao Spain mwezi wa 6, lakini kwenye vigezo vya kupata visa vingi sina mfano ajira ya kudumu, pesa ya kutosha kwenye bank account yangu nifanyeje naomba ushauri.

Ahsante
 
Mkifunga ndoa yoyote kanisani, msikitini au mahakamani itakuwa rahisi kwani anaweza kuandika barua ya mwaliko kwako na ukaitumia kupata visa.

Vinginevyo omba visa ya utalii lakini itabidi uthibitishe kiasi fulani cha fedha kipo.
 
Ahsante sana Kwa ushauri mzuri
 
Mkifunga ndoa yoyote kanisani, msikitini au mahakamani itakuwa rahisi kwani anaweza kuandika barua ya mwaliko kwako na ukaitumia kupata visa.

Vinginevyo omba visa ya utalii lakini itabidi uthibitishe kiasi fulani cha fedha kipo.
Ni Pm mkuu nikusaidie kupata schengen visa hyo na kuandaa document uende spain
 
Back
Top Bottom