Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Wadau kuna mtu kaja kuniomba ushauri yeye ni mfanyakazi wa taasisi moja ya serikali sasa amepata kazi nyingine ya serikali pia. Kinachomtatanisha ni namna ya kuacha kazi na kuhamia taasisi ya pili na tayari ana mkopo wa Mil 10 benki.
Je akiondoka kimya kimya kama mtoro kuna Tatizo ili mafao yake ndio yalipe mkopo au a age ofcn?
Je akiondoka kimya kimya kama mtoro kuna Tatizo ili mafao yake ndio yalipe mkopo au a age ofcn?