Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Hellow JF..
Mimi kijana mwenzenu, mimi nina muda sana sijafanya mapenzi, napatwa na hisia kali sana za kulala na ke lakini nakuwa muoga sana.
Usiku silali kwa amani hata kama nilijiweka bize mchana.Mimi si muoga wa wanawake, ila kwa nini ni muoga wa kulala na mwanamke?
Naomeni ushauri niondoeje uoga huu,nyie mlianzaje mpaka mkaenda bao sita mpaka saba with confidence?