Ushauri: Nakusudia kukishitaki Chuo kwa uonevu wa miaka 8

Kwa nature ya vyuo vyetu namwamini kabisa ana ogopa kutaja wasije mu disco
Wakati mwingine huwa mnatusingizia maana kama hakuna wanafunzi basi hakuna walimu. Na mauongo ya wanafunzi usisahau wanafanya lecturers waonekane ni wabaya mbele ya jamii wakati wao ni vilaza na wanalazimisha uwape maksi za dezo ambapo ni kuua elimu
 
Si kweli bana kuna wenye ujinga mwingi tu na hupenda kukomoa wewe mwanafunzi 8 years anatumia gharama huoni wewe ni failures bongo mtu ana PhD ila hawezi solve tatizo dogo sasa huyo msomi au mjinga. Mbona nimekutana na ma Prof wa nje walioandika tafiti nyingi na kufanya miradi mabara mengi hawana ujinga wa hawa wa kwetu, tena wako very supportive na hawajimwambafai, hawa wetu hata kutumia computer hawajui. So acheni kukomoa watu kwa kusingizia wanafunzi eti hawana akili
 
Kwa nature ya vyuo vyetu namwamini kabisa ana ogopa kutaja wasije mu disco
Masters ambayo usually inapatikana within 18-24 months imeshamchukua 8 yrs hadi sasa (and still counting), bado mtu anaogopa ku-disco?
Ingekua ni mimi ningefunga macho, nalipua tuu namwaga details zote kila kitu hadharani.... Halafu nazungusha hilo andiko kwenye magroup ya Whatsapp, facebook, twitter, insta, you name it. And then i wait for the blow.
 
Masters ambayo usually in moat inapatikana within 18-24 months imeshamchukua 8 yrs hadi sasa (and still counting), bado mtu anaogopa ku-disco?
Ingekua ni mimi ningefunga macho, nalipua tuu namwaga details zote kila kitu hadharani.... Halafu nazungusha hilo andiko kwenye magroup ya Whatsapp, facebook, twitter, insta, you name it. And then i wait for the blow.
Mleta mada anawafichia Siri angetaja na chuo, department Ili watu waepuke kwenda kusumbuka miaka nane mingi hana cha kupoteza
 
Back
Top Bottom