Ushauri: Nahitaji kununua gari ninunue lipi kati ya haya?

Nunua IST cc1500. Sababu;
1. Ni imara kama Carina japokuwa yenyewe inakuwa na size kubwa ya tairi 15 (carina 14). Mwingine anaweza sema nitaweza nitaiongezea urefu carina, lakini hii hupunguza stability barabarani.
2. Kwa hali ya barabara zetu ambapo wakati mwingi unapita vichochoroni kukwepa foleni, IST, itakufaa zaidi.
 
Back
Top Bottom