Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

Mambundamu

Member
Jan 4, 2019
66
63
Wanabodi habari

Iko hivi kipindi ninamuoa huyu wife nilikuwa na date na mtoto mmoja wa kihaya mashaallah. Sasa alipata ujauzito nilipofunga ndoa na wife alianza kunisumbua sana na mimba ilikuwa na miezi 6.

Baadae akaanza kumsumbua wife lakini wife aliponiuliza nilikana nikalamba moto kuwa simfahamu kabisa huyo binti. Ndoa ikasonga mbele alikuja akajifungua mtoto wa kike nikaambiwa na dada yake.

Mzee nikaanza kutunza kisirisiri nilikuja kuwapa taarifa nyumbani kwa wazazi wangu wakaelewa wakaniambia nimwambie wife nikakataa.

Sasa sasa hivi wife na yeye alishajifungua dume la mbegu hivyo nina watoto wawili. Yule kule kwa Mhaya amefikia umri wa kuanza chekechea nimemuanzisha na huwa ninawasiliana na mama yake.

Huyu mtoto sasa ana miaka 3 wife hajui hivyo kwa kuwa ninaanza kusomesha nafikiria kumweleza ukweli wife kuwa nina mtoto nje lakini nafikiria namna ya kumweleza maana anaweza nuna mwezi nikanyimwa na papuchi.

Nishaurini mliowahi kukutana na kitu kama hii ni namna ipi bora ya kumweleza maana siwezi kana mwanangu hata siku moja na uwezo wa kumlea ninao.

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona very simple tena sana mchukue mtoto uje nae kwako umtambulishe mimi nimefanya hivo hivo nikamwambia wewe ni rafiki tuu ila huyu ni damu yangu so ukiamua kukaa nae kwa wema nitakujali ukimzingua na ww na kuzingua tupo huu mwaka wa 14
 
Ushauri mzuri, auchukue huu aufanyie kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri kwanza uone comment ya wife wako hapa,.anaweza toa bonge moja la ushauri ukafurahi na moyo wako,ikawa kitonga kwako..

Lakini;hivi ni kwann hamuwi wa kweli baadhi ya wanaume nyinyi???ona sasa unavyohaha kama ushuzi wa ngomani,jasho linakutoka..mfyuuu😏😏muwe wakweli mapema kuepusha family conflicts jamanii..
 
Subiri kwanza uone comment ya wife wako hapa,.anaweza toa bonge moja la ushauri ukafurahi na moyo wako,ikawa kitonga kwako..

Lakini;hivi ni kwann hamuwi wa kweli baadhi ya wanaume nyinyi???ona sasa unavyohaha kama ushuzi wa ngomani,jasho linakutoka..mfyuuumuwe wakweli mapema kuepusha family conflicts jamanii..
Haya yote sababu kuu, ni nynyi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona very simple tena sana mchukue mtoto uje nae kwako umtambulishe mimi nimefanya hivo hivo nikamwambia wewe ni rafiki tuu ila huyu ni damu yangu so ukiamua kukaa nae kwa wema nitakujali ukimzingua na ww na kuzingua tupo huu mwaka wa 14
Uko nae mwaka wa 14 sawa..lakini wewe ni MBINAFSI,imagine angekufanyia wewe hivyo mngekuwa wote leo hii???
 
Dogo usipate tabu. Muambie unataka kumuoa mwanamke fulani ulizaa nae ili mwanao asiteseke. Utamsikia akisema. MLETE MTOTO NITAMLEA MIMI. Ila mama yake sitaki kumuona kabisa.

Dogo hawa asikupe tabu kakizo tupo.
 
Back
Top Bottom