Ushauri na msaada wa mawazo unahitajika kukomesha uonevu huu wa polisi

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,429
2,000
Niende kwenye mada straight

Kunna mkuu mpya wa upelelezi amepamgiwa katika wilaya yetu(jina kapuni kwa ss)
Kwa sasa n kamatakamata kila leo hasa kwa wauza mirungi bangi na madawa ya kulevya(kwa uchache)
Katika kamatakamata hiyo wanaingiaga wahusika sahihi na wengine wanabambikiziwa, shida inakuja kuwatoa hao wanaobambikiziwa manake polisi wanaishia kula hela tu hakuna maendeleo ya kesi yanayotokea

Ufuatiliaji wa kesi hizo ndo tumegundua kumbe polisi wanatumia kamatakamata hiyo ili waendelee kukusanya hela zao kwa wauza madawa hao kila mwezi,

Kumbe wauza madawa wanaoeleka mpaka 1M/month kwa polisi ili wasisumbuliwe

Inatia uchungu sana,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom