Mkuu vipi kuhusu faida ya sabuni, unaweza kufafanua hata kidogo ?Inategemea na mazingira ila kama upo twn weka meza eneo la watembea kwa miguu wengi kisha uza vifuatavyo
: sukari za kupaki
:unga wa kilo 5
Sabuni za kuogea
: sabuni za Inga(kilo)
:tambi
Mafuta ya Lita moja na liter 3
Dawa za meno
Usisahau na vocha
:Karanga
:ubuyu
:mandaz ya azam(yakupak sio lazma azm)
:leso,toilet paper ,tishu, toothpic
ipi Kali n bites ndogo ndogo
Mchana na asubuh utakuwa n wateja wachache ila kwa jion kama iko mahali pazur utauza sana hiyo pesa ni nyingi
sending using jamiiforum makinikia
Mimi nataka kuuza sabuni tu, kuna maslahi yoyote mkuu ?Unakutosha kama huto waza kuuza vitu vya kupima kama sukri! Maana mfuko tu unazaidi ya laki na nusu ujanunua mzani!
Kama unataka kuuza juicy maji maji sabuni viberiti betri sigara yes nimtaji mzuri sana kuanzia my dear!
Sijapoteza muda rafiki, mie nafanya biashara hii, nimeandika kitu ninachokijua, biashara ya duka ni ngumu sana kuendelea kama una huruma, wengi wamefilisika kwa kuhonga, na wengi wamefilisika kwa kuwaonea huruma watu hasa ndugu na marafiki pale wapatapo shida au kupungukiwa pesa na kuamua kuwapa bure au kukopesha, kama utaona ni ushauri wa kipuuzi basi achana nao pokea kwa wengine mkuuAhsante kwa ushauri wako...Ila tushauriane kimaendeleo, tuwe na fikra chanya, za kisomi pia.
Mtu usipoteze muda wako kuandika comment ambazo hazijengi, hazi leti faida kwa jamii...Maana ya hii forum ni kuelimishana kibiashara, kupeana ideas n.k. Tuwe na mawazo yaliyo komaa si ya kitoto.....
Sijapoteza muda rafiki, mie nafanya biashara hii, nimeandika kitu ninachokijua, biashara ya duka ni ngumu sana kuendelea kama una huruma, wengi wamefilisika kwa kuhonga, na wengi wamefilisika kwa kuwaonea huruma watu hasa ndugu na marafiki pale wapatapo shida au kupungukiwa pesa na kuamua kuwapa bure au kukopesha, kama utaona ni ushauri wa kipuuzi basi achana nao pokea kwa wengine mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta frem eneo zuri kulingana na aina ya bidhaa ya biashara yako, nenda TRA, leseni ya biashara, vitu kama mizani kama vitu vya kupima, mashine za risiti, then nunua mzigo panga bei ya kuuza yenye faida ndogo ila inakidhi mahitaji, usitake faida kubwa sana na usipate hasaraSijafikiria hivyo..ndio maana nikaomba hints...hayo ya huruma yoote nilisha yawaza na majibu nikawa nayo..
Ninachoomba ushauri hapa ni taratibu za kisheria ZA KUFUATA tuu sio IDEA ya kufanya biashara sababu nishaiwaza...
Kama niliweza kufanya savings hadi kupata mtaji haiwezi nishinda kuwa makini pia katika biashara yangu sababu pia mimi ni matured enough...
Duka lako liko wapi nije nikuunge mkono?Tafuta frem eneo zuri kulingana na aina ya bidhaa ya biashara yako, nenda TRA, leseni ya biashara, vitu kama mizani kama vitu vya kupima, mashine za risiti, then nunua mzigo panga bei ya kuuza yenye faida ndogo ila inakidhi mahitaji, usitake faida kubwa sana na usipate hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kwangu upendo ni amri ninayoiishiDuka lako liko wapi nije nikuunge mkono?
Nimependa ulivyo na moyo wa upendo...
Amina, haya jibu swali sasa