Good one, also this can be consideredKwanza nakupongeza sana kwa wazo lako. Ushauri wangu kwa pesa uliyo nayo lima kilimo cha uyoga. Nenda kwa wataalam wa kilimo wakufunze ukulima huu wa Uyoga kwakua umsomi mafunzo hayatazidi wiki na gharama yake ni nafuu mno sh.20,000' utakua umejifunza ukulima na jinsi ya kudhibiti magonjwa ya Uyoga na wadudu waharibifu wa Uyoga.
Then gharama ya mbegu shilingi elfu 5,vyumba viwili cha giza na cha mwanga utalima humo na kuuza mahotelini na kwa Catering kwa bei nzuri utashangaa unaingiza pesa kiulaini tena ukiwa kivulini. Ni hayo tu.
Mmhh mitungi ya gesi nayo ijapokuwa sawa you can move with this.Unapatikana wapi me nipo arusha nataka unifanyie research ya ɓiashara ya mitungi ƴya gas kwa hapa toun hapA nilipo wachawi wamekua wengi
Hiyo kampuni iko wapi?Hongera sana Mkuu karibu ktk ulimwengu wa fikira tofauti kwa wajasiriamali! vizuri ukifanya mwenyewe research kwa wafanya biashara na wenye maduka mbali mbali! ama kama upo tait nipe tenda hiyo Kampuni yangu inadeal na masoko inaweza kukufanyia kwa bei nafuu kabisa! my kampani ni Tangaza Marketing Solutions(TMs)
karibu sana.
Uko wapi mkuu, nataka wanifanyie market research kwa biashara ya duka LA vifaa vya ujenzi.C'mon man anaweza kuwa na bei nzuri,mfano kuna kampuni moja pale kenya wanakufanyia market research kwahizi biashara ndogondogo kwa gharama haifiki hata elfukumi ya Kibongo. Wanakupa full infor kuhusu biashara husika, mfano capital ya kuanza nayo, process ya kuanzisha, location inayofaa, rent ya flame, maunjanja katika biashara husika etc.
Hongera saana kwa kuwa na nia ya kuanza biashara, kikubwa tambua soko lako, wanahitaji nini, wapi, wakati gani, kiasi gani na kwa njia zipi.Habari zenu Wana Jamii Forum,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu,katika harakati za kujiandaa na kupambana na maisha pindi nitakapohitimu elimu yangu na kurudi mtaani,nimetafuta pesa ikiwa kama mtaji wa biashara milioni moja (1,000,000)hasa ya duka la bidhaa za vyakula.
Tatizo ni kwamba si mzoefu ktk biashara na ni mara ya kwanza kutaka kuifanya hii biashara kwan matarajio yangu ni kujiajiri mwenyewe.
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili kunipa mchanganuo wa bidhaa muhimu zinazotakiwa kuwepo dukani kama vile unga kiasi gani,mchele n.k kulingana na mtaji huo wa Milioni Moja.
Natanguliza Shukrani zangu.
Asante bwanaWanakuja mkuu subiri