Nikupe idea ingine papo hapo - kama Kuna Boda Boda kijiwe around hapo fanya hivi ku-ongeza idadi ya wateja: Waambie wakikuletea idadi Mteja akanunua tray mfano 10 ana buku lake... (Kila tray faida jero - ukitoa buku kumbuka kuwa yule Mteja next time atakua ameshapafahamu dukani tayari una Mteja... Nk nkNina wazo la kufanya hii kitu mbeya
sijui ita lipa kweli nataka nifungue boonge la shop ya mayai tu
Yaani hata tray nyingi sana ila bado nafanya upembuzi ya kinifu
maana sijui akina mwaisa kama wanakulaga mayai wale jamaa
Nikifanikiwa kujua wana tafuna hakika nitafungua shop hiloo... na weka na vijana wa kunisaidia kusambaza na boda