Ushauri na maelekezo juu ya brown discharge kutoka kwenye vagina

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,875
3,096
Hi pipooo wa JF,kwema?
Mwanamke kupata discharge nyepesi ya rangi ya brown kutoka kwenye K inamaanisha nini au ni dalili ya nin,haina harufu,haiwashi,inatokea kila mwezi walau kw wiki moja unusu hivi kabla ya period,siumwi popote wala sipati discomfort yoyote zaid ya kuvaa pantliner all the time ,wadau mnaojua mnaweza kunijuza hii ni nin
 
Discharge ya brown kabla ya period au hata muda wowote sio kitu cha kushangaza kwa mwanamke, inawezekana kabisa ilivyotoka ilikua nyeupe ila baada ya muda(Kutokana na joto etc) ulipoiangalia baadae ndo umekuta imebadilika rangi,, kama haina harufu, wala kuwasha isikutie wasiwasi..
 
Hi pipooo wa JF,kwema?
Mwanamke kupata discharge nyepesi ya rangi ya brown kutoka kwenye K inamaanisha nini au ni dalili ya nin,haina harufu,haiwashi,inatokea kila mwezi walau kw wiki moja unusu hivi kabla ya period,siumwi popote wala sipati discomfort yoyote zaid ya kuvaa pantliner all the time ,wadau mnaojua mnaweza kunijuza hii ni nin

hiyo kawaida ukkaribia bleed
 
Inaweza kuwa candidiasis au PID!!
Nenda kwa daktari ukatibiwe upo uwezokano kati ya vipimo hivi hapa vitatambua tatizo lako
1.HVS
2.Pelvic USS au
3.VDRL
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom